Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Ha ha ha ule ndio upendo huon hata hukumu yako haikuwa kubwa sanaAaaah ile faraja sio ya nchi hii jirani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ule ndio upendo huon hata hukumu yako haikuwa kubwa sanaAaaah ile faraja sio ya nchi hii jirani.
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Meza tikiti.
Thank u dearHappy birthday to you fortunata.
[emoji320] [emoji324] [emoji322] [emoji484] [emoji512] [emoji524]
Mke mwenza tusipopendana unafikiri tutaishije? Usinifanyie hivyo bwana, twendege wote.Hahahhah....unajua mie nimezungukwa na dini ile ingine.
Basi kila siku napata mialiko mipya.
Juzi nilialikwa pale King Solomon.
Nilikula na daku tukabeba.
Siku ingine nitawakusanya wooooote, tuende.
Maana sio kwa mchezo mchezo huko.
Nakuonaa nakuonaaaWacha we!!
Twakupenda pia peace.Nawapenda wanajf wote
Nilikula ya peke yangu shemeji, naandamana hadi bonny nae apigwe.
Mie nawapenda mbonaMuwapende na mods jamani.
Mie nipo jamani, hao wengine bado hawajaamka, hangover ya w.end.
Ngoja tupangw vikosi vya mashambulizi
Morning too[emoji8] [emoji8♥] [emoji8]Gooood morning mke mwenza[emoji8] [emoji8]
Alikuja kuuliza kama ntaenda mazoezin nkamwambia leo hapana sitawezaMbona nimemuona anatokea kwako asubuhi?
Wale hata uwabebe na mbeleko ya chuma, watapuruchuka tu.Muwapende na mods jamani.
Salama tu jirani, umeamkaje?Mmmmmh habar jiran
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie niko tayari na bukta langu labda hao wengine 🙂