Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Sawa kamanda Kamatia zigo hilo japo roho inauma..Pole mdogo wangu ndio dunia ilivyo ukiibiwa na wewe tafuta mnyonge ummegee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kamanda Kamatia zigo hilo japo roho inauma..Pole mdogo wangu ndio dunia ilivyo ukiibiwa na wewe tafuta mnyonge ummegee
Ha ha ha unafikr mzinga kwangu ni shida nyota yangu inasema nnavyozid kuhonga ndio nnavyozid kufanikiwaHahaaaaaaaa anajitakia mtongozo wa lazima..
Ila ukumbuke Id il fitri inaribia...
Ila hili toto zur zur c unaona lips hzo mzee daah utamis vitu ving sanaSawa kamanda Kamatia zigo hilo japo roho inauma..
Mapenz ni mpira baba nimeucheza sasa nimempasia mwingine naww chezea ukichoka pasia au nirudishie..Ila hili toto zur zur c unaona lips hzo mzee daah utamis vitu ving sana
Sina kunbukumbu yoyote kabisa.hebu nikumbusheHivi unakumbuka tulikutana tarehe ngap, mwez wa ngap na katika uzi upi humu JF..
Samaki huyu sijui ni aina gani anajileta mwenyewe nchi kavuMmmmh hapa kaz ipo aiseee samaka anakuja bila chambo
Jipe moyo baba utayashindaMapenz ni mpira baba nimeucheza sasa nimempasia mwingine naww chezea ukichoka pasia au nirudishie..
Kho kho kho kho.utamuua mwenzio ujueIla hili toto zur zur c unaona lips hzo mzee daah utamis vitu ving sana
Aaah end of an era ishi vzr na bonny..Sina kunbukumbu yoyote kabisa.hebu nikumbushe
Kuna msemo unasema hivi.."ukiona mjanja kalizwa basi kuna mjinga kapendwa""ukiona mjinga kalizwa....... kuna mjanja kapendwa.Pole mdogo wangu ndio dunia ilivyo ukiibiwa na wewe tafuta mnyonge ummegee
Mama weeeee...bunduki chini mikono juu...tadaaaaAaah end of an era ishi vzr na bonny..
Weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......Ha ha ha unafikr mzinga kwangu ni shida nyote yangu inasema nnavyozid kuhonga ndio nnavyozid kufanikiwa
Poule mwaya.ndivyo maisha yalivyo..ukisikia nyuma geuka,wamwisho anakuwa wa kwanzaSawa kamanda Kamatia zigo hilo japo roho inauma..
Aaaaa asante baba nimeshakaribia sema ninavumbi mno miguuniKaribu sanaaa mama karbu mnooo
Usjal utapelekwa kuogesha kusuguliwa na kuvishwa upyaaaAaaaa asante baba nimeshakaribia sema ninavumbi mno miguuni
Ha ha ha uko vzur KijanaHivi unakumbuka tulikutana tarehe ngap, mwez wa ngap na katika uzi upi humu JF..
Kijana yuko njema.Ha ha ha uko vzur Kijana