Mapenz ni mpira baba nimeucheza sasa nimempasia mwingine naww chezea ukichoka pasia au nirudishie..
Ha ha ha ha kwan mkuu wewe upendo wako ulipanga uende kwa nan?Mi ndio niko mwenyew humu...naona kila kizur kina mwenyewe..daah
Nimsemo tu baba usistuke.Kwhyo hapa nan mjanja nan mjinga kat ya mim na @modray
Ha ha ha Mtaje tu ntakusaidia kukutetea mkuuNilipopanga upendo wangu uende kuna jamaa ameshikilia kweli kweli nahisi niktaja hapa nitakimbizwa[emoji2] [emoji3]
Haya kazi kwako..Ntoaje pas niko kwenye 18 nafunga mwenyewe
Sawa bwana leo nishakua mjinga poa..Nimsemo tu baba usistuke.
Hahahahaha.@Bonny yupo atakukusaidia mkuuNilipopanga upendo wangu uende kuna jamaa ameshikilia kweli kweli nahisi niktaja hapa nitakimbizwa[emoji2] [emoji3]
Mwenzio akimwagwa kisusio unazima simu.haya bhanaHa ha ha Mtaje tu ntakusaidia kukutetea mkuu
Unaijua roba mbao mkuu endelea sasa.Paprika...mkuu
Umesemaaaa kama sijasikia vizur vilePaprika...mkuu
Umesikia sema hujaelewa elewaUmesemaaaa kama sijasikia vizur vile
Huhuhhuuuuuuuu.mond katika uboraUnaijua roba mbao mkuu endelea sasa.
Alizidisha utozi njaaKumbe vitu vdogo hvyo alikuwa anashindwa ndio maana kamwagwa sasa nmeelewa