Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama utanipenda nami nitakupenda! Nampenda anipendaeHata Mimi hunipendi??
Ntazidi kukupenda sasa..
Aseeeh kumbe huyu jamaa ana wivu kiasi hicho? Mshana kuna kitu kakufanya. Wacha niingie kwenye maombi
Naachaje kukupenda ww sasa! labda niwe nimelogwa
Nakupenda, na ninazidi kukupenda.Kama utanipenda nami nitakupenda! Nampenda anipendae
Kabisa tumaumizana macjounatuumiza macho
Hahaha I'm here mamy.
Swahiba kala Ban aseeh... siunaona toka jana JF imepoa [emoji6]
Mweeh bado hajafunguliwa kumbe!Swahiba kala Ban aseeh... siunaona toka jana JF imepoa [emoji6]
Nimekumiss mdogo wangu...
Ya siku tatu. Unaijua? Haya mfungulie harakaMweeh bado hajafunguliwa kumbe!
Ban yake ilikua inaisha leo nadhani
Ha haa simfungulii mpaka anihongeYa siku tatu. Unaijua? Haya mfungulie haraka
Wifi yako huyo atiHa haa simfungulii mpaka anihonge
[emoji106]Nimekumiss mdogo wangu...
Amfungulie kwani yeye ndiye kamfungaa???Ya siku tatu. Unaijua? Haya mfungulie haraka