Auntie jamaan [emoji23]Mbona mnanifananisha sana jamani!! Auntie yako yupi huyo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jamaan nilikumiss unaendeleaje lakiniHahahaaaa!! Tell me aunty!
hahhahh
Ndio yeye shemeji yako [emoji23]Hapa naona kama sijielewi elewi, au?
Ndio yeye shemeji yako [emoji23]
Hahhahah yupo kimachale anaogopa auntie yanguNamwona ananietia nikasema nimwache na jirani yake kwanza.
Abee sweetheart!!Auntie jamaan [emoji23]
Niko poa kipenzi, uhali gani?Jamaan nilikumiss unaendeleaje lakini
Ujirani ulishakufa mbona, nilishahama.Namwona ananietia nikasema nimwache na jirani yake kwanza.
Lile jinamizi limekazana kuniandama auntie acha tu!!Hahhahah yupo kimachale anaogopa auntie yangu
Ujirani ulishakufa mbona, nilishahama.
Kitengo gani?
Ooooh!! Basi sawa.Cha kuhudumia wenye shida za kifedha.
Aunt sijui ni balaa gani hili!!! How are you dear?
Hivi haunipendi eti?Kama simpendi yeyote je?