WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

Kwakweli mi nampenda ninayemjua tu na si mwingine ila ni, aysher ambae namfaham mpaka nje ya jf.
 
Navutiwa na wote maana jamii forum imekua kama familia moja ila tu sema imeingiliwa na utoto wa kifb fb
 
Mm Nampenda

[emoji813]Ukhuty
Ila nangoja ipite sikukuu kwanza maana usije sikia nataka Baibui la laki 5 la kuswalia Iddi[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Back
Top Bottom