Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Asante antie, kumbe watu wananuna bwana hata tukiitana antie eti!!! Khaaah kazi ipo.pole sana jamaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante antie, kumbe watu wananuna bwana hata tukiitana antie eti!!! Khaaah kazi ipo.pole sana jamaan
Sakayo naona kaenda kamuacha bonnybasi bamdogo acha nikanyonye mlale salama
kwakweli auntie acha wanune na wavimbee wapasukee me nitaendelea kuita tuAsante antie, kumbe watu wananuna bwana hata tukiitana antie eti!!! Khaaah kazi ipo.
Usiku mwema antie, uote ban eeeh!!![emoji12] [emoji12] [emoji12]Jamaniiii wa ndugu mie nilale sasa. Mungu awatunze jamani na muwe na usiku mwema, espy, Maserati, Madame B, Shunie, Daby, Bonny na Heaven Sent huko uliko....
Yaani nitaisikia kwenye redio.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maana huko haupigwi ban ng'ooooo!!!
Msamaha uliomba kibabe ule.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si niliomba jamani!! Au hadi nilie kama Heaven Sent!!!
Hata Sakayo shahidi yangu kuwa niliomba msamaha.
Bonny bakini naye tuuNa wee pia nikajua unamchukua bonny
Kasema ukanyonye vinyonyavyo.hivi hajajibu tu
na me naondoka kamq ifuatavyo nakuacha we bamdogo naenda kunyonyaSakayo naona kaenda kamuacha bonny
Yaani weweSakayo naona kaenda kamuacha bonny
eti nikanyonye nini bamdogo na meno haya 32
Na kwako pia Mrs. TJamaniiii wa ndugu mie nilale sasa. Mungu awatunze jamani na muwe na usiku mwema, espy, Maserati, Madame B, Shunie, Daby, Bonny na Heaven Sent huko uliko....
HahahaUsiku mwema antie, uote ban eeeh!!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hadi mm unanipenda[emoji4]nawapenda woteeeee
Aaaah!! Wasitupangie maisha kwakweli.kwakweli auntie acha wanune na wavimbee wapasukee me nitaendelea kuita tu
Hatuna pa kumweka tumeoa sisiBonny bakini naye tuu
ndio nakwenda kuvinyonya madame bKasema ukanyonye vinyonyavyo.
Ucjali ndoa yetu kesho[emoji3]Marry me
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani nitaisikia kwenye redio.
Paw hatofikia Masafa yangu.