Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
Mimi binafsi nawapenda sana wadada wote humu ila ningependa wawe na tabia yakunisalimia PM japo kwa kila week mara 4 nawapenda sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamininawapenda woteeeee
Kwa kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli kile kitakuwa cheti feki sio bure.
Hahaha.....hii kauli yako imenikumbusha miaka ya nyuma.For sure nahitaji msaada, aongezee wengine wawili nami nipumue.
Itakuwa Banan UkongaOk Baby [emoji12] [emoji23] au Brown sugar?
Baadae twende tena.Sasa mbona ulinikimbia nikqbaki pekee yangu sio vzr...
na ubavu mzima wa mbuziHa ha ha hv kumbe lile daku la jana lilikua la castle light enheee
na ubavu mzima wa mbuzi
Hata hujibu niko pekee yangu nakusubiri..Baadae twende tena.
nimenogewa
Niko hapa Airtel mdogomdogo narejea homeUna haki ya kuamkia coco ushamaliza zoez au bado upo
Mie nataka niwe nakuangalia tu ukiwa unakimbia
Niko hapa Airtel mdogomdogo narejea home
Nimechoka kama mbwa
Hahaaa! My wi saa nyingine haizuiliki aisee.Umeamshwaje wapendanao.... Sio kwa kudamka huko jamani... Madame B, espy, Bonny, Nalendwa, Mondray, Heaven Sent, Shunie, Emmyta, Daby na nk naona mnapendana tuu...
Wacha watu wanune
Umeamshwaje wapendanao.... Sio kwa kudamka huko jamani... Madame B, espy, Bonny, Nalendwa, Mondray, Heaven Sent, Shunie, Emmyta, Daby na nk naona mnapendana tuu...
Wacha watu wanune
Niko poaa my wiiHahaaa! My wi saa nyingine haizuiliki aisee.
Mzima my wi?
Daku kama kawa lipo.Duuh kwa kuchokq huko daku litakuepo tena na leo
OoohNmeshaamk mdada nilikua namuangalia madame b akiwa anafanya mazoez hii asubh
Daku kama kawa lipo.
Nikustue