WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

WanaJF tunaopendana tukutane hapa tuoneshane upendo

[HASHTAG]#inawezekana[/HASHTAG]

Jina zuri lisilo na kazi yoyote njema nyuma yake naweza kulifananisha na sabuni yenye jina zuri lakini isiyotakatisha hata leo ukiita komoa kesho ukaiita komesha keshokutwa ukaiita kiboko, rungu n.k kama haitakatishi ni bure kabisa ukitaka kuipa kibali shughulikia uwezo wake wa kutakatisha nguo au vyombo ili kazi yake njema iipatie jina jema.


Ndugu yangu shughulika na hakikisha una kazi njema zinazosimama nyuma ya jina lako zuri ili lifanyike kuwa jina jema.


Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; na Neema kuliko fedha na dhahabu. (Mithali 22:1)
 
Back
Top Bottom