Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Antie si unajua leo siku ya kazi jamani... Na asubuhi lazima nawahi kuamka kuufukuza uzeeAntie jana umelala mapema sana, na umechelewa kuamka, na mkwe hayupo. Hebu nyoosha maelezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Antie si unajua leo siku ya kazi jamani... Na asubuhi lazima nawahi kuamka kuufukuza uzeeAntie jana umelala mapema sana, na umechelewa kuamka, na mkwe hayupo. Hebu nyoosha maelezo.
HahahaNa haitaweza muacha mtu salama.
Afu leo si unajua ni Basht Monday eeeeee.....
Haya
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeanza kujipendekeza eeeh!! Jitahidi nikila ban unanibembelezea.
Jirani kwani kuna ubaya?ha ha ha ha kumbe jiran mshavushana server na shemej yako au ulikuwa unapeleka mchango wa sendof ya dota wake Heaven Sent
Ulikuwa unaruka kwenye mawe!!! Mmmmh!! Haya mwenza acha nikubaliane na wewe.Mguu ulinasa kwenye mawe mwenza
Eeeeh!! Mvua ikinyesha na sipo nyumbani nakuomba tu jirani yangu unanianulia.Ha ha ha kwel kabisa majiran wa kutoleana nguo kipind cha mvua enhee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wameizoea kazi
ha ha ha ha kumbe jiran mshavushana server na shemej yako au ulikuwa unapeleka mchango wa sendof ya dota wake Heaven Sent
Nmeuliza tu jiranJirani kwai kuna ubaya?
Nimenunua kibukta cha mazoezi jiraniHa ha ha ha hakuna shida jiran ntakuja kukupitia ila lile dera lako uliache sawa
si hata zile ndogo ndogo utazikuta nmeziweka sebulenEeeeh!! Mvua ikinyesha na sipo nyumbani nakuomba tu jirani yangu unanianulia.
Umeona anavyomlisha mume keki? No wonder ndoa ilimshinda.Mbona ka amevaa shela
Hayo ndio maneno jiran leo jion tunaanza sawa enhee?Nimenunua kibukta cha mazoezi jirani
Jirani si umesema huwezi niombea peke yangu?Uje leo jion jiran tutaanza zoez halafu tunamalizia na maombi
Muongo huyu jirani yangu!! Bora tu nihame niwe nae mbali.
Mmmmmh!!! Ngoja tu nikubali kishingo upande.Antie si unajua leo siku ya kazi jamani... Na asubuhi lazima nawahi kuamka kuufukuza uzee
Nakuandaa kiroho jiran mbona huelewag lakin?Jirani si umesema huwezi niombea peke yangu?
Jitahidi antie yangu.Hahaha
Inabidi njichekeshe anti si unajua tenaaaa
Mbona kama tangazo hili swahiba umekuwa dalali siku hziHalafu shemeji hapa jirani yangu kuna mtu anahama, naweza kukuulizia, nyumba iko peke yake na kuna geti kabisa, maji na umeme ni bure.
Hapo jirani na Bonny kwani unalipa sh ngapi? Maana hapa unaweza hata kupunguziwa nusu nzima, tiles mpaka nje zimetapakaa.