habari zenu wanajf wa arusha... mie mwenzenu natia mguu arusha this wikend na ningependa wana wa hapo a town mnipe data za wapi nitapata raha ya ukweli...utamu. na nytclub gani niweza pata wale dada poa ila wa ukweli...usiniambia story za pale mrina bar lol!
wadada wa jf pia feel free kunitafuta ila uwe mzuri.
Arusha ndio jiji la starehe mkuu kuna sehemu za starehe za kila aina...uwezo wako tu mfukoni tusije tukakupeleka club ukaishia kulipa kiingilio tu.
ah mie nimekuja kula raha...hasa nataka kugegeda watoto wakimeru bwana....so wee nipe maeneo gani wanapatikana. starehe gharama so nilishajiandaa
habari zenu wanajf wa arusha... mie mwenzenu natia mguu arusha this wikend na ningependa wana wa hapo a town mnipe data za wapi nitapata raha ya ukweli...utamu. na nytclub gani niweza pata wale dada poa ila wa ukweli...usiniambia story za pale mrina bar lol!
wadada wa jf pia feel free kunitafuta ila uwe mzuri.
Karibu A twn mkubwa! Kama uko kiukweli niPM bila shaka kabisa kwani viwanja viko wazi kbs!
Karibu member wetu!
Ha ha haaa!!! Ni PM mkuu nikuelekeze maeneo ya kwenda.
hivyo viwanja mnavyotaka kuvitoa kwa PM ni vipi hivyo.....mbona watu mna choyo sana jamani.....?
Kwa sababu hata wewe unavifahamu.
Hivyo viwanja vya kuchukua dada poa sivifahamu kabisa hapa Arusha! Na wadada wa JF sio wa hivyo. Labda uende Dar mitaa ya Joly club.
kuna kipya kipo moshono na kingine kinafunguliwa kisongo...usikute ndo hivyo....
Filipo bora umemueleza!! Sasa mambo ya madada poa yametokea wapi?
Kama anakuja kutafuta madada poa huku hatumtaki achape lapa mkoa mwingine.