Kama anakuja kutafuta madada poa huku hatumtaki achape lapa mkoa mwingine.
wadada poa akawatafute kwingine! Sio huku.
Filipo bora umemueleza!! Sasa mambo ya madada poa yametokea wapi?
kuna kipya kipo moshono na kingine kinafunguliwa kisongo...usikute ndo hivyo....
wadada poa akawatafute kwingine! Sio huku.
Atuacheee wana Apollpo tupumuweeee!
yaani kaona Arusha ndo sehemu ya kutafutiam dada poa tena bila aibu anataka kabisa tumwambie na viwanja? yaani, ameshindwa kutongozamo mdada decent kabisa....atutake radhi hapa hapa kwa kutudhalilisha bana...au kajidhalilisha mwenyewe?
CC marejesho, Preta, Filipo, LiverpoolFC, Arushaone jembe, Mzee wa Rula, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, IGWE, PakaJimmy, Mungi, Crashwise na wengineo wote.
BCC: Asprin
Sredi zingine za kijinga kweli, eti nae huyu ni GT ! Na ole wako ukampokee huyu mgeni mapepe!Hivyo viwanja vya kuchukua dada poa sivifahamu kabisa hapa Arusha! Na wadada wa JF sio wa hivyo. Labda uende Dar mitaa ya Joly club.
Kajidhalilisha mwenyewe manake ameshindwa kuficha upumbavu wake akaficha hekima yake!Atuacheee wana Apollpo tupumuweeee!
yaani kaona Arusha ndo sehemu ya kutafutiam dada poa tena bila aibu anataka kabisa tumwambie na viwanja? yaani, ameshindwa kutongozamo mdada decent kabisa....atutake radhi hapa hapa kwa kutudhalilisha bana...au kajidhalilisha mwenyewe?
CC marejesho, Preta, Filipo, LiverpoolFC, Arushaone jembe, Mzee wa Rula, Blaki Womani, Lily Flower, sweetlady, IGWE, PakaJimmy, Mungi, Crashwise na wengineo wote.
BCC: Asprin
Hommie nimekusoma hapa.Atuacheee wana Apollpo tupumuweeee!