WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

Status
Not open for further replies.

Eti wanadai wao ndop wamiliki wa mmu.
Sijui nani kawadanganya?
Kwao sawa, kwa mtu aliye nje ya "mtandao wao" dhambi.
tehe tehe tehe tehe.....tihi, toho, tuhu.....
Hasa huyu mwanzisha sredi...ana matatiziiiiiiiizo kweli kweli.

Kwa hiyo ndio maana uliona ni heri uanzishe zile threads mbili?

Mkuu hivi kuna sheria inataka mtu aseme ukweli tu hapa JF...,

Mimi naona ni bora kutokuangalia ni nani amepost bali ni nini amepost sababu majibu ya wanajamvi yanaweza kumsaidia sio mtoa mada tu bali hata msomaji.... mfano hio ya kupiga kelele kwenye nyumba ya kupanga ushauri wa kuwa wanaenda guest au kuweka ceiling board na sound proof kwenye chumba ingeweza kuwasaidia kwenye ndoa yao (hata kama sio yeye huenda kuna mwingine anakumbwa na tatizo kama alilosema yeye...), Je ni kweli tuache kumwamini muongo hata kama akisema ukweli..?, Je akidanganya kwenye A na B je ndio kusema na kwenye C pia amedanganya..?, tunapochangia hoja je tunamjibu mtoa hoja au hoja iliyochangiwa..?

Hakukuwa na lugha chafu katika hizo mada zote mbili ambazo umezitolea mfano. Na madhali hazikuvunja sheria za JF mimi sikuona kama zina ubaya wowote. Nilizisoma na nilipoona sina la kuchangia wala sikujihangaisha. Niliendelea kwingine tu.

The motto of this forum is where we dare talk openly. So why try to infringe upon people's right to freely express themselves so long as they are not breaking any of the forum's rules?

What objective standard(s) are you going to use to determine if a topic is not worthy of being here? I am not in favor of censoring free speech especially if the forum prides itself in being the place where people can dare talk openly so long as they abide the established rules.

Let people express themselves bana. Hupendi wanachokibandika au wanachokiandika...sepa kwingine. As simple as that.

EMT... Nakusifu kwa kufungua hii Thread... Iko very very insightful..... to the CORE.....

Reactions: EMT

Mkuu leo mtu akikuomba ushauri juu ya mkewe anayepiga kelele mno anapofika kileleni halafu kesho akarudi tena anataka umshauri kuhusu mkewe anayetaka kumwacha kwa vile jamaa ameshidwa kumfikisha kileleni, wewe unaona kuna mantiki yoyote hapo? Utamshaurije hapo? Mkuu napingana na wewe. Huwa kuna maswali ya kijina na majibu ya kijinga pia. Kama members tuna rights lakini lets not abuse our own rights.

Na ni nani aliyemwambia kuwa ni lazima stori utakayoweka humu ni lazima iwe imekuhusu wewe muanzisha thread. Kwamba haitakiwi kuweka habari ya mtu mwingine.
Nikiweka nafsi yangu katika habari yangu, je inamaanisha 100% kuwa ni mimi?
Kuna aina ngapi za uandshi, na nafsi ipi unatakiwa kuitumia na wakati gani katika kuwasilisha habari yako.
Tatizo la jamaa ni kuwa anakariri.
I LIKE HATERS!

Hapa karibu kila kitu ni hiari! Hulazimiki kumshauri mtu kama huna cha kumshauri au kama unaona alichouliza hakina mantiki. Wewe potezea tu na sepa kwingine ambako unaona unaweza ukatoa mchango wako.

Kama mada kwako ni ya kijinga basi iache tu. Waachie wajinga waiendeleze. Wewe sepa kwa werevu wenzio. Ugumu uko wapi hapo?

Ulichokuwa unakitafuta kutoka kwangu siku nzima ya leo sasa unakipata:

Mkuu sasa hapo nilipoweka ......................., utakuwa umevunja sheria za jukwaa letu nakuomba tu ufute hio post hapo juu ili tuendelee kujadiliana kwa hoja..., tafadhali bwana tukikupoteza kwa BAN utashindwa kufikisha ujumbe unaotaka kusema.

Jamani humu ni ideas tu.msitukanane sasa Mwanakijiji alikuwa na sgnature isemayo Hoja hujibiwa kwa hoja na si vioja.

Reactions: EMT
Ulichokuwa unakitafuta kutoka kwangu siku nzima ya leo sasa unakipata:

acha hasira shindana kwa hoja.mama wa watu amekosea nini jamani.

Reactions: EMT
Mkuu sasa hapo nilipoweka ......................., utakuwa umevunja sheria za jukwaa letu nakuomba tu ufute hio post hapo juu ili tuendelee kujadiliana kwa hoja..., tafadhali bwana tukikupoteza kwa BAN utashindwa kufikisha ujumbe unaotaka kusema.

Let it be Mkuu.
Huyu jamaa hakuanzia hapa...almost siku nzima ya leo kaniandama tena kwa matusi,
sasa kama alikuwa analizimisha iwe hivyo, basi na iwe.

Mkuu kwa mfano ukisoma zile thread mbili nilizozitolea mfano wewe unaona kuna mantiki yoyote? Leo mtu anataka ushauri juu ya mkewe kupiga makelele kila anapofika kileleni kesho anakuja na shread nyingine akitaka ushauri juu ya mkewe anayetaka kumwacha kwa sababu ameshindwa kumfikisha kileleni? Hapo wewe unaona kuna mantiki yoyote?

Mkuu mimi nimeshajibu post nyingi sana ambazo nikiziangalia sihitaji kuwa Sherlock Homes kugundua kwamba kwa maisha ya kawaida ni vigumu kutokea, au kufahamu kabisa kwamba story ni ya kutunga, lakini mimi huwa najibu hoja nikijua kwamba hata kama sio yeye basi huenda kuna rafiki yake au mtu yoyote ambae yalishamfika hayo au nusu ya hayo aliyoyasema...Hivyo basi jibu lako linaweza likawa zuri na la manufaa kwa watu tofauti, ingawa mleta habari post yake ilikuwa ni ya kutunga...,

Kama kweli aulizae anataka kujua basi hakuna swali la kijinga anaweza akauliza jambo ambalo ni impossible ila sio la kijinga.

Kwa hiyo kosa ni hizo mada kukosa mantiki au kosa ni nini hasa?

Mkuu mleta hoja,unaposema thread zinajiconflict una maana gani?WHAT IF JAMAA ANA WANAWAKE WATATU?NA KILA DEMU ana sifa yake.let say mwingine hafiki,mwingine anapiga kelele

Mbona nilivyom question kwenye thread husika kuwa threads zake mbili zinazojicontradict hakusema kuwa ana wake zaidi ya mmoja? Hata kwenye hii thread si angesema tuu ana wake zaidi ya mmoja? Is that so difficult?

Let it be Mkuu.

Huyu jamaa hakuanzia hapa...almost siku nzima ya leo kaniandama tena kwa matusi,

sasa kama alikuwa analizimisha iwe hivyo, basi na iwe.

Mkuu Kiritimba Heshima mbele.KAMA amekutuka si umripoti mkuu.

Mbona nilivyom question kwenye thread husika kuwa threads zake mbili zinazojicontradict hakusema kuwa ana wake zaidi ya mmoja? Hata kwenye hii thread si angesema tuu ana wake zaidi ya mmoja? Is that so difficult?

What the hell do you think you are, that i have to respond to you!

Reactions: EMT
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…