If they're not breaking any JF rules why the other thead of yours was deleted then?
halafu kuna mada zingine zinazarauliwa ila ni nzuri, kuna watu wanaomba ushauri wamekwama ila unakuta wamechuniwa, muda huo huo ikianzishwa thread nyingine hata kama ni ya masihara ilimradi imeanzishwa na member anayeaminiwa hatoi pumba (blackberry atasibitisha)itachangiwa hadi na watu waliopotea jf.
Sawa mkuu next nitawaachiwa hao "wajinga" waindeleze. Kwa sababu thread itakuwa ya kijinga na wao ni wajinga I am sure wataindeleza? Au kuna ugumu hapo?
I am still bewildered as to why it was trashed!! For all I know I didn't break any rule(s). All I said in it was I miss BabyGal, who is also a member here. Similar threads in the past have been moved to the Chit-Chat section. But mine wasn't. Now you tell me....
The long and short of it ni kwa kuwa huna jina. Ungekuwa maarufu ingepelekwa huko chit chat. Maana kuna thread zinatumwa jukwaa silo kwa kukusudia (mwenye mada husema hasa kuwa jukwaa silo lakini anaomba iachwe ili apate audience kubwa) na huachwa huko!
Siungi mkono hoja mpaka Nyani ngabu na Mr.ChweChwe waunge kwanza!
Siungi mkono hoja mpaka Nyani ngabu na Mr.ChweChwe waunge kwanza!
EMT
Kinachokukasirisha ni kuwa watu wanaomba ushauri wasiouhitajia tu au?
Hakuna ubaya kuanzisha thread ambayo itaibua mijadala iwe ni kweli au uongo.
Sijaona mantiki ya posts kufutwa just kwa kuwa mtu ameomba ushauri unaotofautiana ndani ya siku chache. Ni kuingilia uhuru wa kuchangia. As long as hakujavunjwa sheria waachwe waandike watakacho, asieipenda mada asichangie tu
Mkuu hakuna kinachonikasirisha. Mie nimetoa hoja kulingana na yaliyosemwa hapa siku chache zilizopita ambazo zimewafanya Mods waamue kumoderate hili jukwaa kama lile la siasa kitu ambacho napingana nacho. Nikaja na hii hoja labda sisi watumiaji wa hili jukwaa tujimoderate wenyewe.
hatuchangii thread kwa kuwa watu ni maarufu
tunachangia kwa sababu tunawaelewa kutokana na michango yao.....hapa
leo gaijin au nyumba kubwa ukija na thread title 'NDOA HAZINA MAANA YEYOTE'
obviously tutachangia mno,why ni kwa sababu thru michango yako
we feel like tunakuelewa na hata kama ni utani ,kuna kitu usefull kwenye mchango wako
umuhimu wa authenticity wa watoa mada kwangu ni muhimu aisee....
labda wasizuiwe but sio jambo dogo kihivyo......
Kama unatumia too much energy kuchangia hapo sawa. lakini kama unachukulia kama mazungumzo ya kawaida; sidhani kama ukweli wa mada una matter. Kwani ni lazmia mtu aandike kuhusu maisha yake??
Mbona kuna wengi (siwataji) wanaanzisha mada ambazo hata mtoto mdogo anaweza kusema hii issue ni ya jamaa ila ameiwakilisha kama anamuulizia mshikaji. Lakini bado issue ni sensitive na ina deserve michango japo mtoa mada amedanganya kwa kusema ni tatizo la rafikiye si lake.
Na bado kuna issue inaweza kuletwa na mtoa mada akapretend ni yake kumbe si yake amefikiria kitu ambacho kinaweza kutokea.
Imagine kama ni lazima kusema ukweli na yanayokuhusu tu kama kungekuwa na thread hapa.
Nakubali kuna kind ya watu ambao ana kuwa so emotionally involved na tatizo la mtu kwa hivyo anaona hasira kama mtu anadanganya. Cha muhimu ni kuchangia ukijua kuwa yaweza kuwa kweli au si kweli as long as tatizo laweza ku exist duniani; si la kufikirika na kusadikika; wewe mwaga comments tu kama una wazo la kusaidia.
If they're not breaking any JF rules why the other thead of yours was deleted then? Myself I am against censoring free speech. That is why I am opposing the new JF system of moderating MMU. Don't get me wrong, I do believe that people have the right to express themselves, voice their opinions, and criticize others. However, I think there is a difference between mocking and ridiculing others, and criticizing them in a respectful and decent manner. I personally feel that nowadays, many people abuse their freedom of speech, especially over the internet. I believe that it is most common over the internet because a lot of the time, the identitities of people are hidden. This allows people to say whatever they want and still remain anonymous.
Kuna mada unakuta pages 15 na zaidi ni ma gwiji tu wanajibizana
'aaaawww u r so kind'
'not as much as you'