WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

Status
Not open for further replies.
Naunga mkono hoja. Hata mimi nakumbuka huo uzi. Na wakati mwingine najikuta namshushua mtu BUT the difference kwangu ni kuwa wala simdisqualify na sita carry forward hiyo kitu kwenye future thread zake. Na hata nikimshushua baadae najisuta kwa kuwa nagundua kuwa si kila linalosemwa lazima liwe la kweli. Na si kila mtu ana kumbukumbu na alichoandika nyuma hasa kama si cha ukweli.

Mtu kama huyo ana nia nzuri tu ya kuanzisha topic ambayo yaweza kuwa ni issue inayoweza mkuta mtu yeyote. Tatizo ni kusema kuwa issue ni yake wakati alishasema kitu kingine kinzani huko nyuma. Ni kutokuwa makini tu angeweza kuanzisha mada kutumia nafsi ya mtu mwingine. Ila najitahidi kuelewa watu kama hao kuwa tatizo si nani tatizo ni tatizo.

 



I Love the logic in that....
 

Hakuna anaelalamika thread za maalwatan kuchangiwa na watu hata zikafika page 50. Hakuna anaelalama pia kuwa kwa nini huyo alwatan hachangii thread ya mtu fulani. Tunachoomba ni uhuru ule ule anaopewa alwatan apewe na mwengine.

Aruhusiwe ku post atakacho, cha kweli au cha uongo, kama wanavyopewa uhuru wengine, ili tusijikute tunaangukia kwenye 'all members are equal but some are more equal than the others'

Mtu akipenda aangalie jina la mtoa mada, namna anavyochangia mada za wengine na factor zote nyengine zulizopo kabla ya kujibu post ya mtu but ampe uhuru mtu mwengine kufanya hivyo pia. Asimchagulie mwengine kuwa hili lina mantiki hili halina.
 

watu wako tofauti,
mimi kuna watu kama watatu huwa nasikia uvivu
kuchangia kwao,kwa sababu najua ni mzaha mtupu.....
unless na mimi niko kwenye mood ya mzaha...
 

Ha haa haa kweli kabisa mtu anaweza akawa analalamika nyumba yake inawaka moto jinsi ya kuuzima by the time anapewa jibu nyumba tayari ni majivu.... (sababu watu wanadhani ni mtu wa kudanganya...), hata kama anadanganya lakini kuambiwa kwake jinsi ya kuuzima moto kunaweza kunisaidia mimi mwenye kibanda cha nyasi na koroboi kama nikipatwa na hilo janga kweli...
 



.........lol...... Gaijin.. you never fail to make me SMILE.... You have read me all Wroooong!!! Maoni yangu yalikua hayajustify kua Threads zifutwe... it was just an addition to what Boss alipost.... Thus i do Second Most ya ulosema in this THREAD.... Thus the reading me wrong part....
 

Trust me kindness isn't my best trait 😛

But you are welcome anyway....:]]
 
Reactions: EMT

GEE
you are missing the point here...

hao ma alwatan wanajulikana tena wanajulikana kwa mizaha zaidi...

kwa hiyo hata wachangiaji tunajua right from the start kuwa sio serious....

but mtu kuja na kitu ambacho ana claim ni serious halafu kumbe ni mzaha
hatusemi wazuiwe,tunasema wanapunguza appetite ya kuchangia...

itawa cost....
 

Maybe like any society it takes time to grow and build your name..., (JF aint different) kwahiyo labda mkuu asife moyo mwisho wa siku na yeye atakuwa kama hao..., kama alivyosema mwenyewe hapo mwanzo...., "all animals are equal, but some are more equal than others..."

Lakini mimi ningeshauri kujenga jamvi letu bora tuache kuangalia ID ya mtu kwahiyo hoja ya mtu ipimwe kulingana na post au comment aliotoa na sio ni nani kaitoa...
 
Mi nashindwa kuelewa kitu humu, haohao wanaosema watu wanadharau thread ya watu
haohao walijikusanya kumshambulia mtu na thread yake , na kuona kwamba haifai
, Mie kila siku huu ndio wimbo wangu nikiona watu wamedharau thread ya mtu, lazima nitase
ma kitu au kumwambia mhusika hapohapo, sio fresh
 
Nimeipenda hii thread.

Kitu ambacho nime note pia hili jukwaa lina watu tofauti hivyo hakuna jinsi ya ku incorporate diverse interests. Lazima kuna mada utaona haikuhusu na nyingine inakuhusu zaidi. Mfano kuna wengine ni wanafunzi bado kwa maana kuwa ni wadogo kwa umri. Ila kuna wa age yao ambao wanaona topic zao ni pouwa. Tuvumiliane.

Kuna wakati unasoma mada na kuona imeenda class kabisa afu anatokea mchangiaji anasema ondoa upuuzi. Lakini wanakuja wachangiaji wengine wanaendelea kuchangia na alosema upuuzi ndio anaonekana mpuuzi. Kwa hiyo kuna mambo mengi yanayofanya tuwe na interest tofauti including age. kwa kuwa tuko mseto tuvumiliane.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…