Kazi rahisi lakini wameipromoti kwa nguvu za ajabuKwa kuwa kujifunza hakuna kikomo, natamani kujifunza zaidi kuhusu mabadiliko yanayofanywa katika nchi yetu hasa kwa awamu hiiya sasa!
Ikiwa tarehe 23 August ni mapumziko, je karani atazifikia kaya zote kwa siku hiyo?
Maanake ni kwamba hiyo siku karani atahesabu kaya kadhaa, kisha ataendelea kwa siku inayofuata. Je, mapumziko yataendelea kwa kaya amabazo hazikufikiwa??? Kwenye hili, ilikuwa rahisi zaidi kwa mwenyekiti au mtendaji wa mtaa/kijiji kwa kushirikiana na karani, kumtaarifu mhusika awepo nyumbani...www.jamiiforums.com
Kwa kuwa "kujifunza hakuna mwisho", binafsi nilichojifunza harakaharaka kutokana na sensa hii ni hiki.Kwa kuwa kujifunza hakuna kikomo, natamani kujifunza zaidi kuhusu mabadiliko yanayofanywa katika nchi yetu hasa kwa awamu hiiya sasa!
Ikiwa tarehe 23 August ni mapumziko, je karani atazifikia kaya zote kwa siku hiyo?
Maanake ni kwamba hiyo siku karani atahesabu kaya kadhaa, kisha ataendelea kwa siku inayofuata. Je, mapumziko yataendelea kwa kaya amabazo hazikufikiwa??? Kwenye hili, ilikuwa rahisi zaidi kwa mwenyekiti au mtendaji wa mtaa/kijiji kwa kushirikiana na karani, kumtaarifu mhusika awepo nyumbani...www.jamiiforums.com
Nimehesabiwa leo 🖐️Kwa kuwa kujifunza hakuna kikomo, natamani kujifunza zaidi kuhusu mabadiliko yanayofanywa katika nchi yetu hasa kwa awamu hiiya sasa!