Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha halafu anapiga miruziYule mchizi alikuwa na vituko sana na mkorofi kwa wanawake na watoto.Yaani alikuwa anaufunga mdomo kwa vijiti na mipira akiurefusha kwenda mbele.Hahahahaaa
malingumu alikua anapenda sana mtaa wa rufita Karibu na gest ya berenja enzi hzo ....Kulikuwa na Makambajeki,Amani mwehu,Malingumu na hao wengine ni kiboko.
Bila kusahau Diamond Talkies.Alipapenda mnoo.Na alikuwa na maegesho yake pale kwa wauza kashata na gahwa.malingumu alikua anapenda sana mtaa wa rufita Karibu na gest ya berenja enzi hzo ....
Sent using Jamii Forums mobile app