kaka asante!yaan nko musoma cjui ntawahi nafasi
Nenda Sengerema ila kumbuka Pesa kwanza nafas badae!
bora atafute nafasi machame,ecknford inasemekana hakijakamilisha usajili kutoa course iyo,ukikosa hairisha mwaka uombe mwakan wizara ya afya kama vigezo vinakidh