Wanajf wapi nitapata nafasi ya kujiunga na kozi ya Clinical officer.

Wanajf wapi nitapata nafasi ya kujiunga na kozi ya Clinical officer.

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Jaman wanajf naomba msaada wenu,ni vyuo vipi vinatoa diploma ya clinical medicine ambavyo bado kuna nafasi ya kujiunga kwa mwaka wa masomo 2013/2014.naomba mnisaidie.asanteni
 
Nenda ECKENFORD TANGA UNIVERSITY kilichoko Kange karibu Na TA nafasi bado za kumwaga na Ada ni mil 1:3 per all semisters wahi kwani muda umeisha! We uko wapi kwani lakin?
 
kaka asante!yaan nko musoma cjui ntawahi nafasi
 
Kuna chuo kingine pia kule machame-moshi kinaitwa Macotc kama sikosei.nacho ni kizuri sana.
 
bora atafute nafasi machame,ecknford inasemekana hakijakamilisha usajili kutoa course iyo,ukikosa hairisha mwaka uombe mwakan wizara ya afya kama vigezo vinakidh
 
bora atafute nafasi machame,ecknford inasemekana hakijakamilisha usajili kutoa course iyo,ukikosa hairisha mwaka uombe mwakan wizara ya afya kama vigezo vinakidh

Mkuu wanadai wamekamilisha usajili chini ya NACTE. Nafasi bado zipo, wametangaza kwenye gazeti la mwananchi la tarehe 19 sept 2013.
 
Back
Top Bottom