Morning glory
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 149
- 55
Hi wadau,
Natamani kujiunga na special course ya ualimu wa disabled people ambayo ni special needs.Sasa Vipi kuhusu vigezo kwa wale walimu wazoefu na ajira zake Vipi pia,
Tubonge live
Unganisha heading na content ya thread.
Nenda kasome kama unahitaji.
Nadhani kwa hapa Tanzania chuo cha special needs education ni patandi.
Kiherehere chako Kama hujaelewa kaa kimya shaa...!
Mi nipo Udom nasoma hyo course,vp unahitaji kujiunga kwa level ipi?
Thanks Baba V Vipi kuhusu vigezo vya kuingilia chuo na ajira zikoje
kwa level ya degree unaomba moja kwa moja kwa kutumia chet cha f6. lakini kwa cheti na diploma lazima uwe ni mwalimu mzoefu si chini ya miaka miwili kazini katika level husika.
Ingia hapa WWW.UDOM.AC.TZ.THEN UTAPATA VIGEZO KWA LEVEL YA DEGREE.HAYO MENGNE SIJUILevel ya degree au diploma au Cheti hebu naomba nipe qualifications za kuingilia then nione ipi naweza kuanzia friend