Wanajmvi,Ualimu special needs ni nini

Wanajmvi,Ualimu special needs ni nini

Morning glory

Senior Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
149
Reaction score
55
Hi wadau,
Natamani kujiunga na special course ya ualimu wa disabled people ambayo ni special needs.Sasa Vipi kuhusu vigezo kwa wale walimu wazoefu na ajira zake Vipi pia,

Tubonge live
 
Unganisha heading na content ya thread.

Nenda kasome kama unahitaji.
 
Hi wadau,
Natamani kujiunga na special course ya ualimu wa disabled people ambayo ni special needs.Sasa Vipi kuhusu vigezo kwa wale walimu wazoefu na ajira zake Vipi pia,

Tubonge live

Nadhani kwa hapa Tanzania chuo cha special needs education ni patandi.
 
Mi nipo Udom nasoma hyo course,vp unahitaji kujiunga kwa level ipi?
 
Kama ni level ya degree kuna chuo kikuu cha sekomu kinatoa elim hyo na vigezo two princple passes na ajira ni kwenye shule zenye wanafunzi mahalum kama, vipofu,viziw na bubu
 
Back
Top Bottom