Wanajukwaa la mahusiano na mapenzi ambao hamjaweka sex zenu kwny profile zenu mnamaana gani?

Inaboa mtu umeweka kabisa id yako ni me au ke bado kuna mtu anauliza ww ni me au ke. Hivi huwa ni uvivu kuangalia au ndo wale wakosa chochote cha kuchangia
 
Kwanza ID nyingi ni fake, inakusaidia nini ukijua jinsia ya mtu usiyemjua anaetumia ID ya uongo? Hapo sijaongelea wanawake wanaojinasibu kama wanaume au wanaume ambao wamejipambanua kama wanawake.
Asante mkuu humu ni fake jinsia yangu inamuhusu nini????
 
But what I mean is that sometimes it may turn into offensive replies that a normal human can not bear at all
There are also some kinds of embarrassment to yourself

And why should you even ask me such a question at first place?
 
Asante mkuu humu ni fake jinsia yangu inamuhusu nini????

Huyu jamaa anafananisha JF na mitandao mingine. Hajui wakurugenzi wameshapelekwa mahakamani na kesi inaendelea kuhusu haya mambo ya ID. Ukiongezea na Nissan nyeupe ndio kabisaa nani ajulikane?
 
Jinsia Utazijua Kwa Kuangalia Andika Yao Humu Ya Mwanamke Na Mwanaume Ni Tofauti
 
Huyu jamaa anafananisha JF na mitandao mingine. Hajui wakurugenzi wameshapelekwa mahakamani na kesi inaendelea kuhusu haya mambo ya ID. Ukiongezea na Nissan nyeupe ndio kabisaa nani ajulikane?
Akitaka kujuana aende mitandao mingine lkn humu atachemka tu
 
Yeye mwenyewe hajatuambia jinsia yake halafu anataka azijue za kwetu

Ndio hapo nashangaa, hajiulizi mbona hakuna anaehangaika na ID au Avatar yake? Itakuja kuwa jinsia? Yanini kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…