Wanajukwaa la mahusiano na mapenzi ambao hamjaweka sex zenu kwny profile zenu mnamaana gani?

Wanajukwaa la mahusiano na mapenzi ambao hamjaweka sex zenu kwny profile zenu mnamaana gani?

Hivi nyie mshajuana jinsia nn mana naona mshaanzisha na kikao kabsa[emoji102] [emoji102]

Jifunze tumeshaanzisha kikao na mambo yanaenda lakini hakuna mahali tumeulizana jinsia. Fanya jambo moja tu, jifunze kutofautisha JF na mitandao mingine.
 
Jifunze tumeshaanzisha kikao na mambo yanaenda lakini hakuna mahali tumeulizana jinsia. Fanya jambo moja tu, jifunze kutofautisha JF na mitandao mingine.
Unakosea hapo kwny JF na mitandao mingine sema ktk JF tofautisha jukwaa la mahusiano, mapenz na urafiki na majukwaa mengine kuwa mwelewa usiwe mzito sana
 
Ahaaa humu kuna wengi ni wanaume haswa ila wameweka picha za wanawake kwenye shape matata. Na kila siku mnawashobokea ahaaa

Nimekumbuka MTU mmoja humu wakati wa kampeni alikuwa kinara wa kumtukana lowasa, nikaingia chimbo kujua huyu ninani kha nikamjua ni mwanaume ila anavyojiita mwanamke na kujifanya mstaarabu muhenga nyooo!

Wewe mwanamke jimwanaume sikupendi kama nn.

Ahaaa bora niweke UA tu comment zangu MTU atajua mm ni jinsia gani.

Wahenga wa jf hasa wa zamani mnamjua zamani alikuwa anatumia I'd Fulani akaja ya kiume kujiita ...... Jina la kike I think ni kati ya 2012, ila I'd yake ya zamani ni ya 2008
 
Unakosea hapo kwny JF na mitandao mingine sema ktk JF tofautisha jukwaa la mahusiano, mapenz na urafiki na majukwaa mengine kuwa mwelewa usiwe mzito sana

Haya wewe mwelewa endelea kusaka jinsia za watu. Kila la kheri
 
Utatambua jinsia kwa namna mtu anavyo reply, ila sasa kuna ME wenye tabia za KE hapo ndo unaweza kujichanganya
 
Jifunze tumeshaanzisha kikao na mambo yanaenda lakini hakuna mahali tumeulizana jinsia. Fanya jambo moja tu, jifunze kutofautisha JF na mitandao mingine.
Jamaa yake ni haijulikani Halafu anataka eti tumwambie za kwetu,
 
Kwanza ID nyingi ni fake, inakusaidia nini ukijua jinsia ya mtu usiyemjua anaetumia ID ya uongo? Hapo sijaongelea wanawake wanaojinasibu kama wanaume au wanaume ambao wamejipambanua kama wanawake.
Wewe me au ke?
 
Jamaa yake ni haijulikani Halafu anataka eti tumwambie za kwetu,
2c6dcad36038a53fff1fbd8a2835f945.jpg

Tuanze na wewe kwanza hiv ni ME au KE mana unawasumbua wanaume wasokujua jinsia yako
Tangu niliposhindwa kujua jinsia yako sijawah kuhusika na wewe kwa namna yoyote
 
2c6dcad36038a53fff1fbd8a2835f945.jpg

Tuanze na wewe kwanza hiv ni ME au KE mana unawasumbua wanaume wasokujua jinsia yako
Tangu niliposhindwa kujua jinsia yako sijawah kuhusika na wewe kwa namna yoyote
Nina vyote sijui wanaitwaje mkuu
 
Back
Top Bottom