youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
- Thread starter
- #41
Hivi nyie mshajuana jinsia nn mana naona mshaanzisha na kikao kabsa[emoji102] [emoji102]Hebu muombe mkopo kwanza kabla hajakaa sawa.
Wa hivo ni bahili hata sijisumbui kujaza fomu ya mkopo