D dibk JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 424 Reaction score 365 Jun 29, 2013 #1 lipi neno sahihi kati ya dadafua na dadavu.
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,771 Jun 30, 2013 #2 Madafu ni nazi ambazo bado hazijakomaa
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 18,760 Reaction score 11,343 Jun 30, 2013 #3 dibk said: lipi neno sahihi kati ya dadafua na dadavu. Click to expand... Kudadavua ni "uchambuzi wa kina" au maelezo yaliyo pangwa kwa ufanisi wa hali ya juu! Na Dadafua. Halina maana ktk kamusi yetu!
dibk said: lipi neno sahihi kati ya dadafua na dadavu. Click to expand... Kudadavua ni "uchambuzi wa kina" au maelezo yaliyo pangwa kwa ufanisi wa hali ya juu! Na Dadafua. Halina maana ktk kamusi yetu!