Kutafuta simu HUKU umeishika na unaongea na mtu kwenye simu anakuuluza mbona hunijibu VZR unamwambia sijui simu iko wapi NDIO natafutaHabarin wanajukwaa Nina Imani nyote wazima afya [emoji817][emoji817]
Mapenzi wanasema yanaendesha dunia na pale mtu yanapomkuta ya kumkuta Hali inakuwa si Hali
Je ni vioja gani vinavyoweza kusababishwa na stress za mapenzi Ukiachana na vifuatavyo;
1, Kunyoosha nguo bila kuwasha socket
2,Kuchomeka Kadi ya mpiga Kura kwenye ATM
3,mwanachuo kufanya mtihani na kuandika cover page na reference
4,kuwasha garj na funguo ya kitasa
Karibuni tuendelee
Hapo ndo unakumbuka tabu iko pale pale πππHesabu ndogo ilinishinda Yani 1500+1500! Mapenzi kiboko..π€£ nikiwaza 1500 naijumlisha na jina lake badala ya 1500 nyengine!. Ghafla nikasikia sauti ndani yangu "hivi wewe bata utatutesa mpk lini" hapo viungo vyangu vinanilaumu sasa
We acha tuHapo ndo unakumbuka tabu iko pale pale πππ