L ldleo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 1,116 Reaction score 1,121 Jul 11, 2022 #1 Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa Kimongolia ni burudani au michezo.
Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa Kimongolia ni burudani au michezo.
Muuza viatu JF-Expert Member Joined May 14, 2020 Posts 3,840 Reaction score 7,920 Jul 11, 2022 #2 Angalau wanaenz tamaduni zao