WANAKOELEKEA WADANGANYIKA NI KUBAYA ZAIDI KULIKO WANAKOTOKA

WANAKOELEKEA WADANGANYIKA NI KUBAYA ZAIDI KULIKO WANAKOTOKA

Kwakivesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
344
Reaction score
504
Sasa hivi hali ni shwari kwa sababu wanaonufaika na mfumo wa sasa nchi ya wadanganyika ni wachache na wao wanafanya hivyo wakijua kwamba hawawezi kuondoka leo au kesho:
  1. Wamezunguukwa na wakwepa kodi ambao wanahakikisha wanafanya kila linalo wezekana aliyepo kwa kiti haondoki ili waendelee kukwepa kodi na kuzalisha mitaji iliyotetereka siku za nyuma.
  2. Wamewakamata watu wa salama na kuwahonga mamilioni ili wasibugudhiwe na wawe na uhakika wa maisha ya familia zao mpaka kifo.
  3. Wameweka mifumo kandamizi na kuteua watu wa sharia kushika mihimili ya kutoa haki ili hata kama kuna haki wadanganyika wanahitaji waikose au icheleweshwe mpaka wakate tamaa.
  4. Wamebuni kamata kamata kama nchi ya Mu 7 kwa wale wote ambao wanajifanya kimbele nyuma na pia wamewadangaka wasanii kila kona ili wasiseme chochote kuhusu kinachoendelea
  5. Wamewaweka kwa mfuko waandishi wa habari na wao wamekuwa kama kundi la wasanii ambao kazi yao ni kusifu na kuabudu.
Kwa sasa hali itaendelea kuwa hivyo mpaka watakapo choka wenyewe na roho ya huruma kuwaingia na baadae watasema tunawapa uhuru wenu;wakati huo nchi ya wadanganyika itakua imekwisha habari yake;hakutakua na madini,mbuga za wanyama zitakua zimeisha, Banda Re itakuwa historia Vile Viwanja vyote vya mwewe vitakua chini ya singasinga
Poleni wadanganyika;hali yenu itakua mbaya sana huko muendako
 
Back
Top Bottom