Wanakudai TRILLION 107, Halafu unawaambia who are you?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.

WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni wanakunyofoa huko na kukushughulikia.

Ni hayo tu kwa leo.
 
Usikute tu wanajibu u'are ze animal!
 
Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.

WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni wanakunyofoa huko na kukushughulikia.

Ni hayo tu kwa leo.
KUMBUKA TANZANIA NI NCHI HURU.
 
I was shocked and surprised....
Kama asilimia kubwa ya mafuta yanachimbwa na kusimamiwa na hao hao anaosema who are you 😂😂😂😂 seriously???????

Niliwahi kusema, unapokosea usithubutu kujitetea, kwasababu kadiri ufanyavyo utetezi wako ndio unaharibu zaidi....

Ukimya ulikua ndio suluhisho la kuimaliza yote hayo...
 
Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.

WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni wanakunyofoa huko na kukushughulikia.

Ni hayo tu kwa leo.
Punguza Jazba, Soma kwanza kisha post .

Deni pa taifa linajumuisha madeni yote ya ndani na nje ya nchi.

Kama ulisupply penseli kwa shule ya serikali, na deni likavuka mwaka wa serikali basi linaingia kwenye deni la taifa.

Madeni ya ndani ni makubwa kuliko deni moja moja la nje.

Ukinunua Bond ya BoT basi hiyo pesa ulioipa BoT kununua hatifungani inaingia kwenye deni la taifa.

Haya kawaambie na wenzako
 
Sawa chawa nimekupata
 
deni la nje sh ngapi na deni la ndani sh ngapi ?
 
Tulia dogo unaweza kudai wewe na makofi ukachezea wewe vilevile
 
Wakati mwingine wapeni madaraka watu wenye hekima, wanyenyekevu, na wenye elimu na maarifa makubwa ya kuwaongoza wengine.
 
Back
Top Bottom