Punguza wewe , mimi yangu is at its lowest levelPunguza sauti basi ☺️
Usikute tu wanajibu u'are ze animal!Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.
WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni wanakunyofoa huko na kukushughulikia.
Ni hayo tu kwa leo.
KUMBUKA TANZANIA NI NCHI HURU.Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.
WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni wanakunyofoa huko na kukushughulikia.
Ni hayo tu kwa leo.
Punguza Jazba, Soma kwanza kisha post .Maajabu hayaishi na tumepatwa kweli kweli.
WHO THEY ARE
1. MILITARY SUPER POWERS
2. ECONOMIC SUPER POWERS
3. Wana nguvu ya kijeshi, wakiamua leo unauachia urais na ukienda kwa wajomba arabuni wanakunyofoa huko na kukushughulikia.
Ni hayo tu kwa leo.
Sawa chawa nimekupataPunguza Jazba, Soma kwanza kisha post .
Deni pa taifa linajumuisha madeni yote ya ndani na nje ya nchi.
Kama ulisupply penseli kwa shule ya serikali, na deni likavuka mwaka wa serikali basi linaingia kwenye deni la taifa.
Madeni ya ndani ni makubwa kuliko deni moja moja la nje.
Ukinunua Bond ya BoT basi hiyo pesa ulioipa BoT kununua hatifungani inaingia kwenye deni la taifa.
Haya kawaambie na wenzako
deni la nje sh ngapi na deni la ndani sh ngapi ?Punguza Jazba, Soma kwanza kisha post .
Deni pa taifa linajumuisha madeni yote ya ndani na nje ya nchi.
Kama ulisupply penseli kwa shule ya serikali, na deni likavuka mwaka wa serikali basi linaingia kwenye deni la taifa.
Madeni ya ndani ni makubwa kuliko deni moja moja la nje.
Ukinunua Bond ya BoT basi hiyo pesa ulioipa BoT kununua hatifungani inaingia kwenye deni la taifa.
Haya kawaambie na wenzako
Kwani Libya haikuwa huru?Aangalie kauli zakeKUMBUKA TANZANIA NI NCHI HURU.
Hii hekima iko sawa. Ukijaribu tu kujitetea hata kazini ndio mabosi wanakujua we mwongoNiliwahi kusema, unapokosea usithubutu kujitetea, kwasababu kadiri ufanyavyo utetezi wako ndio unaharibu zaidi....