samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
sijawah kupata jibu la hzi mada nimejaribu kufatilia sipati jibu sahih naishia kufikiria labda wanatumia majin
mshana jr tunaomba msaada
Hapa kuna vitu viwili wana changanya.Mazingaombwe ni ujuzi (skills) tu kama juzi zingine. Watu hukaa darasani na kufundwa, hujaribu na kukosea, mwishowe kuwa mashuhuri.
Hakuna mahusiano yoyote ya magic (mazingaombwe) na hicho ambacho wewe tayari umeshakitengeneza kichwani kwamba ni ulozi.
hatariHapa kuna vitu viwili wana changanya.
Kuna mazingaombwa ya trick tu za macho maahesabu tu (mind games ), ambayo ukiwa makini unaweza kung'amua na kupata maelezo.
Kuna ya pili, ambayo hii ni advanced, sio trick za kihesabu.
Hapa ndio utakutana na wakina Dynamo Magician, kinacho fanyika here kuna agreements wanafanya kama wafanyayo waganga , Demons wanavitu nyie mnaona kuwa ni mazingaombwe.,
Remember hizi roho zipo duniani muda mrefu so wanataaluma na huelewa mkubwa wa maada na vitu vilivyopo humu kwa dunia
Na wengi sio matajiri wala,pia jiulize mchawi anaingia ndani kwako kuwanga usiku huku milango yote imefungwa,kwanini asitumie hizo juhudi na maarifa kuingia benki na kuchota mihela?Hata me ningetamani kujua wanachokifanya had yakatokea hayo mazingaombwe
Nilikua najiulizaga kama Wana uwezo wa kugeuza chochote Kua wanachotaka mbona wengi bado n maskini? Kwa maana Kua kazi yao haiwainui au kuna Mahal wanakosea au kuna maagano flan Hutumika au hairuhusiwi kabisa kufika huko?
Nakumbuka walikuja nilipokua msingi wakageuza vijiti Kua saaa had Leo wameniacha Na maswali inakuaje Na mwenzetu asubuh ya pili akasema saa haioni tena
Natamani kufaham zaidi
Cc The bold Kwa msaada