DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mazingaombwe yale mara mtu kajikata kichwa kimedondoka chin then kajiunga na mengine km hayo ni UCHAWI KM UCHAWI MWINGINE ASIKUDANGANYE MTU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna vitu viwili wana changanya.
Kuna mazingaombwa ya trick tu za macho maahesabu tu (mind games ), ambayo ukiwa makini unaweza kung'amua na kupata maelezo.
Kuna ya pili, ambayo hii ni advanced, sio trick za kihesabu.
Hapa ndio utakutana na wakina Dynamo Magician, kinacho fanyika here kuna agreements wanafanya kama wafanyayo waganga , Demons wanavitu nyie mnaona kuwa ni mazingaombwe.,
Remember hizi roho zipo duniani muda mrefu so wanataaluma na huelewa mkubwa wa maada na vitu vilivyopo humu kwa dunia
Preparation ni muhimu sana. Hivi nini kazi ya wale wadada wanaochezacheza kwenye magic shows?
That's my boy!Black magic intend to harm??
Unamuona mtu anatembea juu ya maji alafu unasema ni mikono myepesi na kucheza akili za watu?!! Embu fafanua tafadhaliHakuna uchawi wala spirits. Mazingaombwe au magic ni ujanja tu na kuwa na mikono myepesi na uwezo wa kucheza na akili za watu (illusion). Kuna vitabu na videos nyingi sana Youtube zinazoonyesha jinsi ya kufanya magic tricks.
Dynamo ni bonge LA magician nimewahi kushuhudia anapaa angani kwenye moja ya vipindi VYAKE
Nenda youtube kuna video kibao wanaonyesha jinsi magic tricks mbali mbali zinavyofanywa.Unamuona mtu anatembea juu ya maji alafu unasema ni mikono myepesi na kucheza akili za watu?!! Embu fafanua tafadhali
Nenda youtube kuna video kibao wanaonyesha jinsi magic tricks mbali mbali zinavyofanywa.
Andika "magic tricks revealed"What should I search in youtube to satisfy my curiosity? Maana ukiandika magics au how magic is being done wanakuletea magic shows zao. Hayaniambie mkuu
Ujanja+majicsHakuna uchawi wala spirits. Mazingaombwe au magic ni ujanja tu na kuwa na mikono myepesi na uwezo wa kucheza na akili za watu (illusion). Kuna vitabu na videos nyingi sana Youtube zinazoonyesha jinsi ya kufanya magic tricks.
hapo ndo ujue pesa haina thamani.. km pesa ingekua na thamani wachawi wote wangekua matajiri.Hakuna cha akili nyingi hapo ni akili butu mtu anageuza karatasi kuwa pesa bado ni maskini haaaaaa!
Kwakweli mi pia huwa najiuliza sana sipati jibu naishia kuhisi ni uchawi tu.Kwahiyo apo alicheza na akili za watu kama wengi wanavyosema?
OkAndika "magic tricks revealed"
Hapa kuna vitu viwili wana changanya.
Kuna mazingaombwa ya trick tu za macho maahesabu tu (mind games ), ambayo ukiwa makini unaweza kung'amua na kupata maelezo.
Kuna ya pili, ambayo hii ni advanced, sio trick za kihesabu.
Hapa ndio utakutana na wakina Dynamo Magician, kinacho fanyika here kuna agreements wanafanya kama wafanyayo waganga , Demons wanavitu nyie mnaona kuwa ni mazingaombwe.,
Remember hizi roho zipo duniani muda mrefu so wanataaluma na huelewa mkubwa wa maada na vitu vilivyopo humu kwa dunia
Nimekubalii aisee hamna uchawi wala nn ni mafunzo tuu na ujuzi mkubwaaHapa kuna vitu viwili wana changanya.