Wanamazingaombwe ni watu wa namna gani na kwanamna gani wanapata uwezo wa kufanya yote?

Mazingaombwe yale mara mtu kajikata kichwa kimedondoka chin then kajiunga na mengine km hayo ni UCHAWI KM UCHAWI MWINGINE ASIKUDANGANYE MTU.
 
Hapa kuna vitu viwili wana changanya.

Kuna mazingaombwa ya trick tu za macho maahesabu tu (mind games ), ambayo ukiwa makini unaweza kung'amua na kupata maelezo.

Kuna ya pili, ambayo hii ni advanced, sio trick za kihesabu.
Hapa ndio utakutana na wakina Dynamo Magician, kinacho fanyika here kuna agreements wanafanya kama wafanyayo waganga , Demons wanavitu nyie mnaona kuwa ni mazingaombwe.,
Remember hizi roho zipo duniani muda mrefu so wanataaluma na huelewa mkubwa wa maada na vitu vilivyopo humu kwa dunia
 
Hakuna uchawi wala spirits. Mazingaombwe au magic ni ujanja tu na kuwa na mikono myepesi na uwezo wa kucheza na akili za watu (illusion). Kuna vitabu na videos nyingi sana Youtube zinazoonyesha jinsi ya kufanya magic tricks.
Unamuona mtu anatembea juu ya maji alafu unasema ni mikono myepesi na kucheza akili za watu?!! Embu fafanua tafadhali
 
Nenda youtube kuna video kibao wanaonyesha jinsi magic tricks mbali mbali zinavyofanywa.
 
Binafsi wengi wanasema ni kuwa na mikono myepesi na kucheza kwa akili za watu kwa hizo magic moments ndogo ndogo kama kucheza na karatasi like kubadirisha karatasi kuwa pesa, michezo ya karata but when it comes to great magic moments kama za kukanyagwa na gari mtu anapasuka tumbo, kukatwa kichwa alafu baadae mwili unajiunga, kutembea juu ya maji, kuingiza peni puani na kutokea mdomoni nguvu za giza ni lazima zitumike ili kufanikisha hiyo michezo
 
What should I search in youtube to satisfy my curiosity? Maana ukiandika magics au how magic is being done wanakuletea magic shows zao. Hayaniambie mkuu
Nenda youtube kuna video kibao wanaonyesha jinsi magic tricks mbali mbali zinavyofanywa.
 
Huu ni uchawi, ila wahusika huwa hawataki kuhusishwa na uchawi sababu si kitu kizuri.

Hivyo wanaishia kusema ni akili tu.
 
Hakuna cha akili nyingi hapo ni akili butu mtu anageuza karatasi kuwa pesa bado ni maskini haaaaaa!
 
Hakuna uchawi wala spirits. Mazingaombwe au magic ni ujanja tu na kuwa na mikono myepesi na uwezo wa kucheza na akili za watu (illusion). Kuna vitabu na videos nyingi sana Youtube zinazoonyesha jinsi ya kufanya magic tricks.
Ujanja+majics
 
Uchawi upo, ila msiuamini. Miaka yanyuma niliwai kushuhudia tukio fulani, hakika tukio lile halikua lamzaa mzaa. Jamaa alikua na uwezo wakula beseni zapilau, zaidi ya 10. Jamaa alikua nauwezo wakuzima taa na kuiwasha. Namengine mengi. Dunia inamambo. Tembea ukaone....
 
Hapa kuna vitu viwili wana changanya.

Kuna mazingaombwa ya trick tu za macho maahesabu tu (mind games ), ambayo ukiwa makini unaweza kung'amua na kupata maelezo.

Kuna ya pili, ambayo hii ni advanced, sio trick za kihesabu.
Hapa ndio utakutana na wakina Dynamo Magician, kinacho fanyika here kuna agreements wanafanya kama wafanyayo waganga , Demons wanavitu nyie mnaona kuwa ni mazingaombwe.,
Remember hizi roho zipo duniani muda mrefu so wanataaluma na huelewa mkubwa wa maada na vitu vilivyopo humu kwa dunia
faffb570015e3cdae84dbb87e31bd1ca.jpg

Mmmh hawa dinamo duh hawawezekana wana fanya impossible tricks ,ndio nimezichek youtube duh
 
Hapa kuna vitu viwili wana changanya.

Kuna mazingaombwa ya trick tu za macho maahesabu tu (mind games ), ambayo ukiwa makini unaweza kung'amua na kupata maelezo.

Kuna ya pili, ambayo hii ni advanced, sio trick za kihesabu.
Hapa ndio utakutana na wakina Dynamo Magician, kinacho fanyika here kuna agreements wanafanya kama wafanyayo waganga , Demons wanavitu nyie mnaona kuwa ni mazingaombwe.,
Remember hizi roho zipo duniani muda mrefu so wanataaluma na huelewa mkubwa wa maada na vitu vilivyopo humu kwa dunia
Nimekubalii aisee hamna uchawi wala nn ni mafunzo tuu na ujuzi mkubwaa
 
Hakuna uchawi it's just an art of fast tricks just go Google "Breaking magicians codes biggest magic secrets revealed"
 
Back
Top Bottom