mm nilikua najiuliza kama ww nikaenda youtobe nikaandika how to magic utaona video jinsi wanavyofanya wala sio uchawi kunavifaa sema vingiutashindwa jinsi yakuvipata mm nimejaribu yakarata naya kufanya kama unachana noti alafu unaionesha ikiwa nzima nimeweza
Preparation ni muhimu sana. Hivi nini kazi ya wale wadada wanaochezacheza kwenye magic shows?
One of the tricks ni kukuamusha mawazo yako kutoka anachokifanya kwenda kwenye wadada wanaocheza nusu uchi.
Hata me ningetamani kujua wanachokifanya had yakatokea hayo mazingaombwe
Nilikua najiulizaga kama Wana uwezo wa kugeuza chochote Kua wanachotaka mbona wengi bado n maskini? Kwa maana Kua kazi yao haiwainui au kuna Mahal wanakosea au kuna maagano flan Hutumika au hairuhusiwi kabisa kufika huko?
Nakumbuka walikuja nilipokua msingi wakageuza vijiti Kua saaa had Leo wameniacha Na maswali inakuaje Na mwenzetu asubuh ya pili akasema saa haioni tena
Natamani kufaham zaidi
Cc
The bold Kwa msaada
Hapa mna changanya na 1. zile mind games zinazo fanywa jukwaani, ambapo ni michezo ya light (mwanga unakuwa hafifu ) ili kuweza kuficha kamba (string nyembamba zenye nguvu) , au kuweka vitu ambazo zinafanana na background color,ili kuweka illusion
Hizi za jukwaani zina scientific expresion kabisa na maelezo yapo vizuri mno
2. Kuna mtu kama Criss au Dyanamo magician, hawa wanafanya mtaani kabisa mchana kweupe, no light games and Etc, hapo spiritual beings ndio wanahusika.
Proving this, jamaaa hawa wawili huwa wanaingia mtaani kabisa au kwenye events kubwa , wana wafanyia magic watu mashuhuri ku prove kuwa hakuna mtu anaye panga.
Miongoni mwa hizi vitu ni kuwa kuna roho ya utambuzi ambayo huweza jua unalowaza simple sana hiii.
Ulimwengu wa rohon mawazo yako ni sawa na unaongea. So jamaaa anae kwambia fikiria mtu yeyote au lolote au karata yeyote au hata namba zako za Siri za bank, Kitendo cha wew kukirikia tu zile roho zinasikia na kumjuza magician .
Kama mtu anajichoma masumari mkonon, na XRAY inaonyesha yeah, msumali umepita , but no maumivu no damu.
Hivi ni manupulation za demons na zina fanywa na watu waliongia mkataba kutumikia katika upande huoo, achana na hawa wa kitaaani wa huku