Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Teh teh teh tehiii. Nenda kaskazini hasa Kilimanjaro ndo utaelewa ninachomaanisha. Kuna kipindi nilikuwa na ziara zangu kaskazini, nikajikuta niko rombo. Barabara zilizo jengwa utafikiri ya TANZAM.
Hao ulio wataja tunawashangaa. maana wamekaa miaka yote hiyo lakini hakuna walichofanikisha, kupendelea kwenu siyo dhambi.
 
Nimetembea Tanzania nzima naijua na hizi regimes zote kuanzia Nyerere nazijua. Barabara za Rombo hazikuwezeshwa na Basil Mramba, ambaye ndiye Mrombo alikuwapo awamu ya 3 kwenye uwaziri. Rombo imepata barabara kutokana na mchango wake kwenye uchumi wetu
 
Kawafanyia nini hao wana Mbeya?
Kamwomba nini huyo mama na akampa?
 
Kawafanyia nini hao wana Mbeya?
Kamwomba nini huyo mama na akampa?
Nenda Mbeya uone walivyo nyuma kimaendeleo.
Anahitajika mtu mwenye upeo wa kimaendeleo, siyo mtu wa dole la kati na mwisho wake wa maendeleo ni kujenga gesti.
 
Nenda Mbeya uone walivyo nyuma kimaendeleo.
Anahitajika mtu mwenye upeo wa kimaendeleo, siyo mtu wa dole la kati na mwisho wake wa maendeleo ni kujenga gesti.
Sawa tunataka mtu huyo lakini siyo Tulia Ackson ameishia kuchafua Jiji kwa kujaza mabajaj tu. Barabara za Mbeya kuanzia Soweto, Soweto, Kabwe hadi Mafiati kupita kwa gari ni shida. Barabara zimejaa mabajaj zina operate kama daladala.

Hii stupid thinking eti ni ya mtu mwenye PhD!!
 
Una tatozo la kimsingi, kama una chuki na Tulia, hilo libaki moyoni mwako maana unakuwa kama nyoka swila mwenye sumu kalina hujui uitoe wapi.
Baja zio toka wakati wa Sugu, na Sugu hakuwahi kulishughulikia.
 
Haujajibu swali. Huyo unayemsifia kawafanyia nini wana Mbeya?
Na hayo anayomuomba mama na akampa ni yapi?
Tunaifahamu Mbeya vizuri sana. Usitake unachokipenda wewe kila mtu akipende!
 
Rombo inachangia nini kwenye pato la nchi kuzidi Mbeya nzima kabla ya Songwe haijaondoka.
 
Haujajibu swali. Huyo unayemsifia kawafanyia nini wana Mbeya?
Na hayo anayomuomba mama na akampa ni yapi?
Tunaifahamu Mbeya vizuri sana. Usitake unachokipenda wewe kila mtu akipende!
We ulitaka awafanyie nini zaidi ya yule mnayempenda aliyetuaibisha kwa kidole cha kati, ambaye hata hivyo aliondoka kama alivyokuja!
 
Hiyo kero ipo toka wakati wa mwenzenu yule wa dole la kati.Hakufanya kitu chochote toka wakati huo, wala hapakuwepo maendeleo yoyote zaidi ya maandamano na kuchoma matairi barabarani pale kwenye nyumba zenu za tope, Mwanjewa.
 
Mbeya ni Sugu na Mwabukusi ✌✊️
 
Aisifiaye nvua imemnyea! Huwezi kutoa sifa kwa mtu usiyemfahamu.
Kiufupi Mbeya bila wana Mbeya wenyewe hakuna maendeleo. Yale machache yanayoonekana yameletwa na wana Mbeya tena kwa vikwazo vingi. Hao unaowasifia miaka yote hawakuwa Mbeya japokuwa ni wa Mbeya. Siasa zimewarudisha kwao nao wanajifanya wanahuruma na mapenzi na Mkoa wao.
 
Na mngekuwa mbali zaidi kama msingejiweka ujuaji, ubishi, ushirikina, maandamano na fujo baada ya kula ile kitu mnaita mbaraga!
 
Na mngekuwa mbali zaidi kama msingejiweka ujuaji, ubishi, ushirikina, maandamano na fujo baada ya kula ile kitu mnaita mbaraga!
Kimtokacho mtu ndio kimjaacho. Huwezi kuongelea kitu usichokifahamu.
Bila shaka huyo unayempigia debe ndio mwenye sifa hizo kwa kuwa ni mtu wa Mbeya.
Hivyo unataka wote wawe na tabia kama yake.
Watu wa Mbeya wamegoma 🀣🀣🀣
 
We ulitaka awafanyie nini zaidi ya yule mnayempenda aliyetuaibisha kwa kidole cha kati, ambaye hata hivyo aliondoka kama alivyokuja!
Watu wa Mbeya hawataki wanyiwe, wanataka kufanya woa,
Wanajua madhara ya kufanyiwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Una tatozo la kimsingi, kama una chuki na Tulia, hilo libaki moyoni mwako maana unakuwa kama nyoka swila mwenye sumu kalina hujui uitoe wapi.
Baja zio toka wakati wa Sugu, na Sugu hakuwahi kulishughulikia.
Tibu kwanza tatizo lako la mapenzi kwa Bi Kigagula ndipo uanze kujadili chuki yangu.

Wakati wa Sugu akiwa Mbunge, Tulia alikuwa mbunge wa kuteuliwa na Rais huku akiwa Naibu Spika. Ndipo akafungua hiyo Tulia Trust hapo Uyole na kuanza kukopesha bajaj ambazo mwishowe zinafanya kazi ya daladala
 
Hiyo kero ipo toka wakati wa mwenzenu yule wa dole la kati.Hakufanya kitu chochote toka wakati huo, wala hapakuwepo maendeleo yoyote zaidi ya maandamano na kuchoma matairi barabarani pale kwenye nyumba zenu za tope, Mwanjewa.
Unaongea nini wewe?. Hata Mbeya yenyewe huifahamu. Kuna nyumba za matope mbeya?
Halafu Kila kitu na wakati wake. Kipindi cha Sugu zilijengwa barabara kiasi za pembeni. Hata hivyo zilijengwa kidogo ksbb ya ccm ikawa kubana kama kutukomesha sababu ya upinzani. Haya sasa mkampitisha tulia. Fanyeni sasa...! Ndio kimya kabisa. Hizo four way ndio wakati wake sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…