Wanambeya, mtakuwa wajinga kutomchagua tena Spika Tulia

Mkuu kuna mijitu mingi Mbeya imesoma lakini hawajaelimika.
Wawsige maprofesa wa Singida wanaojua kucharanga karata zao kwa ajili ya wananchi wao.

Wenyewe bado wako kwenye zama zile za mawe za kudhani kila kizuri kinatoka Mbeya/Kagera/Bukoba. Wako sawa na watu wa ulimwengu wa magharibi ambao mpaka sasa hudhani kila kizuri kinatoka UK, US. Hawajui siku hizi hata China ambaye walikuwa wanam'beza anatoa vitu amazing. Amefika mbali sana kiakili mpaka sasa wanabaki wanahangaika.
 
Ulichoandika ni mawaxo yako finyu.
Hujui hapa Rick City mawe mawe, tuzahabu na viji almasi vimetuinua juu kuliko ulikotaja.
Endelea na mawazo mfu.
 
Ulichoandika ni mawaxo yako finyu.
Hujui hapa Rick City mawe mawe, tuzahabu na viji almasi vimetuinua juu kuliko ulikotaja.
Endelea na mawazo mfu.

Mimi siko kama wao. Mimi naamini kila mahali kuna vitu vizuri. Mawazo yangu ni mtambuka.
 
Angalau kipindi cha sugu tuliona kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…