Wanamgambo (RSF) wachukua Ikulu nchini Sudan

Tangu wamemtoa madarakan omar al bashir hawajawahi kutulia soon watakua,kama libya
 
Hawa jamaa Wauane tu,waliua watu wa Sudan kusini ambao ni weusi na wakristo akina John Garang,naona janjaweed iliyoundwa maalum Kwa ajili ya mauaji ya wananchi wa Sudan kusini imegeuka kuuwa wa Sudan wenyewe.
 
Vipi wanaondelea kuua watu weusi south sudan Hadi hiv sasa. Unawashauri vip?
 
Hawa jamaa Wauane tu,waliua watu wa Sudan kusini ambao ni weusi na wakristo akina John Garang,naona janjaweed iliyoundwa maalum Kwa ajili ya mauaji ya wananchi wa Sudan kusini imegeuka kuuwa wa Sudan wenyewe.
Mchimba kisima.
 
Back
Top Bottom