Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Wambia wakanisani walikuwa wakisema Allah yuko wapi nadhani wameisha lipata jibu Allah anapo piga anapiga kwenye mshono kabisa.Wanamgambo wa Israel wamejikuta ndani ya mzingiro mkubwa wa moto huku wakitoa kilio cha hofu ya kuteketezwa na kubaki majivu.
🚨 BREAKING:
Fires are advancing and reportedly surrounding Israeli occupation forces inside their military bases.
Sasa Gaza inapewa kichapo halafu Allah anachoma misitu ya israelWambia wakanisani walikuwa wakisema Allah yuko wapi nadhani wameisha lipata jibu Allah anapo piga anapiga kwenye mshono kabisa.
We toka mwaka jana mnatuambia Gaza imekwisha kwani vita nikupiga majumba 😆 😂 We huoni kichapo anacho pokea Israel kule Gaza au we huwa unaona habari ganiSasa Gaza inapewa kichapo halafu Allah anachoma misitu ya israel
Anapumulia nyutuMbanaji kabanywa Leo.
We toka mwaka jana mnatuambia Gaza imekwisha kwani vita nikupiga majumba 😆 😂 We huoni kichapo anacho pokea Israel kule Gaza au we huwa unaona habari gani
Wale vijana waliochoma huo moto kumbe walikuwa maallah? Kwa taarifa yenu wamekamatwa wote!!Wambia wakanisani walikuwa wakisema Allah yuko wapi nadhani wameisha lipata jibu Allah anapo piga anapiga kwenye mshono kabisa.
Ni kweli ninaona kichapo kutoka mbinguni magaidi wa Kipalestina leo wanalala nje kabisa na bahati sasa hivi kuna mvua kubwa inanyesha huku Israel mpaka huko Gaza.We toka mwaka jana mnatuambia Gaza imekwisha kwani vita nikupiga majumba 😆 😂 We huoni kichapo anacho pokea Israel kule Gaza au we huwa unaona habari gani
Sawa watawakamata wangapi hivi we unadhani hata kwenda haja ndogo na kubwa Allah akitaka usiende utakwenda subutu. We kama unajidai endelea tu ku mkejeli Allah kuna siku utagundua Allah sio wa kufanyiwa utani.Wale vijana waliochoma huo moto kumbe walikuwa maallah? Kwa taarifa yenu wamekamatwa wote!!
Haha kumbe Mungu analipenda taifa teule sio, sawa wejidanganye tu. Mvua izime moto hahaha we hujui badhi ya mvua hua ni petrolNi kweli ninaona kichapo kutoka mbinguni magaidi wa Kipalestina leo wanalala nje kabisa na bahati sasa hivi kuna mvua kubwa inanyesha huku Israel mpaka huko Gaza.
Kwa Israel mvua inazima mioto yote iliyoanzishwa na magaidi wa kipalestina.
Kwa Gaza jioni Mahema yote yamefumliwa na usiku huu mvua zinanyesha kwa nguvu sana na zina radi kuonyesha chuki kwa magaidi!!!
Jamaa huyo mnamuogopa nyinyi tu!! Mimi niliyenaye ni Mkuu kuliko yeye!!! Wewe endelea kubwabwaja tu na habari zenu za uongo uongo!!Sawa watawakamata wangapi hivi we unadhani hata kwenda haja ndogo na kubwa Allah akitaka usiende utakwenda subutu. We kama unajidai endelea tu ku mkejeli Allah kuna siku utagundua Allah sio wa kufanyiwa utani.
Gaza sasa hivi kuna mvua kubwa sana inawanyea na maturubai yameenda na upepo jioni na usiku mvua zimękuja kwa kasi sana kują kuzima mioto na kuwatia adabu magaidi wa kipalestina!!!Haha kumbe Mungu analipenda taifa teule sio, sawa wejidanganye tu. Mvua izime moto hahaha we hujui badhi ya mvua hua ni petrol
Hizo ni ndoto yani Mungu anawachukia wapalestina sio 😄 🤣 Watu wakanisani kapimeni akili zenu vizuri 1=3Gaza sasa hivi kuna mvua kubwa sana inawanyea na maturubai yameenda na upepo jioni na usiku mvua zimękuja kwa kasi sana kują kuzima mioto na kuwatia adabu magaidi wa kipalestina!!!
Sasa Allah kafanya nini hapo. Nani kafa au huko Gaza kipondo kimeisha au? Mzee we ombea vita iishe hapo Gaza kila siku watu hawajui hatima yaoWambia wakanisani walikuwa wakisema Allah yuko wapi nadhani wameisha lipata jibu Allah anapo piga anapiga kwenye mshono kabisa.
Cha Msingi ni wewe kupigq goti nakumuomba Mungu huo moto usizimike uendelee kuichoma miji ya IsraelWale vijana waliochoma huo moto kumbe walikuwa maallah? Kwa taarifa yenu wamekamatwa wote! Msingi mi na wewe tuombeee huo moto usizime uendelee kuteketezwa miji ya Israel
Labda wewe nisaidie jioni ya saa 10 upepo Ulivuma ukaharibu karibu Mahema yote Gaza na watu wakakosa sehem za kulala harafu saa 3 usiku ikamwagika mvua kubwa iliyoambatana na radi hadi saa hizi saa 4 usiku mvua bado zinatandika tu je huyo ni nani?Hizo ni ndoto yani Mungu anawachukia wapalestina sio 😄 🤣 Watu wakanisani kapimeni akili zenu vizuri 1=3
Hakuna haja ya kuombea vita iishe vibaka hao waliambiwa wazi wawaachie mateka na vita inaisha siku hiyo hiyo lakini mpaka sasa bado wameshupaza fuvu acha wabondwe tu mpaka akili zikiwarudia mateka watawaachia la sivyo wafutwe tu wote maana wote ni magaidi wanahifadhi mateka kwenye nyumba zao na wanahifadhi na maiti kwenye nyumba zao. Kwa hiyo acha tu wapigweeeee!!Sasa Allah kafanya nini hapo. Nani kafa au huko Gaza kipondo kimeisha au? Mzee we ombea vita iishe hapo Gaza kila siku watu hawajui hatima yao
Unatudangabya mvua imenyesha eri moto umezimika 😂😂😂😂Hakuna haja ya kuombea vita iishe vibaka hao waliambiwa wazi wawaachie mateka na vita inaisha siku hiyo hiyo lakini mpaka sasa bado wameshupaza fuvu acha wabondwe tu mpaka akili zikiwarudia mateka watawaachia la sivyo wafutwe tu wote maana wote ni magaidi wanahifadhi mateka kwenye nyumba zao na wanahifadhi na maiti kwenye nyumba zao. Kwa hiyo acha tu wapigweeeee!!