Wanamgambo wa Israel wazingirwa wakiwa Kambi

Kwa hiyo unanipinga mimi? Ulivyo na akili kiduchu unawatetea vibaka wakati wamekamatwa Wakichoma mioto baada ya kuhamasishwa kwa njia ya mitandao ya kijamii?
Acha ujinga mimi toka mchana nimeshuhudia ujinga walioufanya Wamechoma mpaka miti ya kivuli kwenye sehemu sisi tulikuwa tunaenda kupata Nyama choma ( BBQ ) wameharibu miti yote wajinga hawa. Naombea mvua hii inyeshe usiku kucha ili wakome kabisa ugaidi wa mazingira
 

Attachments

  • IMG_0365.mp4
    10.5 MB
  • 8150912724044765276.mp4
    3.1 MB
Kama kawaida yenu kama mlirusha makombora kutoka Lebanon ili mkawapige ije kua vijana hapo palestine muwaache hivihivi, ndio tabia yenu kuzusha ili mmuharibu
 
Hawa ndio wayahudi jamii ya hovyo kuwahi kutokea duniani, hawana tofauti na panya tu

🇮🇱🔥🇵🇸 As expected, Israeli settlers in the West Bank are now reportedly setting fire to Palestinian agricultural land as “payback”
 
We shoga wacha ushoga wako hapa huo moto hata wao Israel hawajui sababu yake afu unasema wapalestina ndio wameuchoma. Sa wewe au Israel nani anaye sema ukweli. Israel wanasema huo moto haujawahi kutokea Israel maisha yao eti mvua itauzima huo moto hivi huwa akili zako zipo sawa au bado zimeshikiliwa milembe.


View: https://youtu.be/WW_YYCW0WI0?si=UImeLCtx7iPiO4aq
 
Mzee mi nawaombea vita viishe. Naumia kwa mateso mwanadamu anayopitia hasa watoto hawajui chochote, nina watoto na cpati picha mwanangu yamkute yanayowakuta watoto wa Gaza
 
Huyo dogo huwa haziko sawa eti Yesu kauzima moto kwa mvua hivi huyu dogo bado anaota Yesu yuko hai atamsubiri sana. Tunawambia Yesu ni binadamu kama wao bado wanabisha tu hata sisimizi hawezi kukubali Yesu ni Mungu.
 
Jamaa huyo mnamuogopa nyinyi tu!! Mimi niliyenaye ni Mkuu kuliko yeye!!! Wewe endelea kubwabwaja tu na habari zenu za uongo uongo!!
We Mungu wako Yesu kisha kufa we endelea kuota kama Mungu anajibadilisha na kuwa binadamu kama wewe afu akabeba dhambi zako. ALLAH ndio Mungu wangu na wa Yesu na wewe hio kujidai na kusema Allah ni mwarabu ni sawa sawa na mzungu kukuambia Mungu ni wa waswahili tu wao wana God 😄 🤣
 
Kunya anye kuku akinya Bata eti kaharisha ndiyo maana Mahamod Abbas kawaita vitoto vya Mbwa nyie!!!
 
Mzee mi nawaombea vita viishe. Naumia kwa mateso mwanadamu anayopitia hasa watoto hawajui chochote, nina watoto na cpati picha mwanangu yamkute yanayowakuta watoto wa Gaza
Vitoto vya Gaza navyo vya hovyo kabisa vimemezeshwa Rohoni mbaya ya chuki. Ukiona vitoto vilivyokuwa vinashangilia siku maiti za watoto Kfri mwenye umri wa miezi 8 na Ariel mwenye miaka 4 utashangaa sana bora tu wauliwe kizazi hiki ili watakaopona Waje wasimulie hapo baadaye.

Hamas wamewafanya Gaza wote waonekane ni wauaji baada ya wao kuwaunga mkono na kuwaficha mateka na maiti kwenye makazi yao..
 
M
Mkuuu💪 nibandika bandua hawana pakuponea unawakabia kwa juu😂😂😂 waseme sasa na huo upepo na mvua imefkaje kwa wana wa alla nakusaidia kuzma moto israel
 
Yaan imekua kama inshu ya musa na farao. Farao alitaka kuuwa watoto wote wakiume wa waisrael. Usiku wake Mungu wa israel akapitisha fagio kwa wamisri kila nyumba msiba . Sasa wa palestina wamechoma miti kisa waliona upepo kumbe nyuma kunamvua itakayo uzima na upepo ukarud kwao wamelala nje bila kutarajia.mpaka wakiri kama farao kua hakika Mungu wa israil ndie mkuuu
 
Eti arabia tv
We mkanisa kaisome bibilia vizuri hebu niambie hapo bibilia hio
Jeremiah 20:7-13
New International Version
Jeremiah’s Complaint
7 You deceived[a] me, Lord, and I was deceived;

Moto umekuchangan'ya sio.
 
We mkanisa kaisome bibilia vizuri hebu niambie hapo bibilia hio
Jeremiah 20:7-13
New International Version
Jeremiah’s Complaint
7 You deceived[a] me, Lord, and I was deceived;

Moto umekuchangan'ya sio.
Wewe akili huna kabisa na kama unazo basi ziko kwenye makalio yako umezihifadhi huko na siku ukizitoa huko kazisafishe vizuri.
Hapa mada ni nyingine kabisa lakini kazi yako kuingiza udini wa kipumbavu!!!!
 
M

Mkuuu💪 nibandika bandua hawana pakuponea unawakabia kwa juu😂😂😂 waseme sasa na huo upepo na mvua imefkaje kwa wana wa alla nakusaidia kuzma moto israel
Hakuna kilichozima moto we msikilize huyo chizi yaani ni hivi moto unawapelekea moto bado kunawaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…