Wanamgambo wa Israel wazingirwa wakiwa Kambi

Allah kawaumba wayahudi lakini anawaogopa.
 
Ukishasema mtoto unamaanisha hana ufaham wa kutosha kujua kinachoendelea chief, usikir unavyoongea hiv Yesu ndio anafurah mzee. Hawa watu ni viumbe wa Mungu na ndani yako kuna roho ambazo ni mahekalu ya Mungu, kwamba wanakosea hilo ni la Mungu na watu wake.
 
Mwandishi mwenyewe ni Mfuga Midevu na Majini unatarajia atakuambia nini?
Wewe ni muongo humu namimi huwezi kunidanganya kwenye hili jambo linalohusu palestine niko tait sana kutafuta news hii special acc. Ya idf nakupa wewe uwe unawafuatilia mimi siwasikilizi
 

Attachments

  • Screenshot_20250501-095616.png
    297.2 KB · Views: 17
R.I.P myahudi ha ha ha ha hhhaaaa!!!
 
Wewe akili huna kabisa na kama unazo basi ziko kwenye makalio yako umezihifadhi huko na siku ukizitoa huko kazisafishe vizuri.
Hapa mada ni nyingine kabisa lakini kazi yako kuingiza udini wa kipumbavu!!!!
Aliye anzisha uharo ni wewe kusema maneno ya kashfa kwa Waislam hi mada yako ukifatilia vizuri wewe ndiye umeleta udini pumbafu mmoja. Bora niwe na akili kwenye makalio kuliko zako zipo kwenye tundu la makalio yako kabisa shenzi type wewe. Mimi watu wakanisani huwa wakileta udini huwa najuwa wapi pakuwatengeneza. Tazama taifa teule la kishoga walio lipandikiza Uingereza na US linavyo ungua nenda kasomee kilimo na wewe.


View: https://youtube.com/shorts/FJii8-Zy-Q0?si=a2YbwHLVOgthPrjH
 
Angalia vizuri hilo eneo mnalokwenda kula kiti moto.Tumesoma huu moto umezuka kutoka ardhini na hakuna miti unawaka kwa wiki sasa.Mwanzoni walijaribu kuzima kwa siri mpaka walipoona hawawezi tena ndio wakaweka wazi kwa vyombo vya habari.
 

View: https://youtube.com/shorts/Nq9S1hGVYu8?si=z5hEtztKFJ0M7duc
Kenge Echolima ona waisrael wanaonyesha maajabu ya moto wanasema unatokea chini ya mizizi afu unazua uwongo eti wapalestina ndio walio choma 😆 😂

Tukiwambia Allah anapiga kwenye mshono kabisa hivi una habari Gaza wamepata vitoweo vimewafata vyenyewe.

We baki taifa teule taifa teule unaona vipi Allah alivyo ipiga moto hiyo miti na wewe subiri ndio utakuwa kuni pamoja na Shetanyahu siku ya Jahanam
 
Hapo Yesu anaingiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…