Wanamgambo waua wanajeshi 30 Nigeria

Sasa Nigeria nakutawaliwa kote na wanajeshi ..ilikuaje wakaruhusu haya makundi ya kigaidi yakastawi?
 
Hawa wanapigana guerrillar war fare,hawa sio conventional army unit,huwezi kwenda kupigana nao kama unaenda kupigana na jeshi la nchi jirani,hawa hawafati sheria za kimataifa,rule of engagement,
Vita ya msituni au ya kuvizia,inabidi ufikirie kama wao,
Sasa unatuma jeshi,limevaa kombat/uniform,kwenda kupambana na magaidi,mtadunguliwa mpaka muishe,hapa inahitajika intelligence,na covert operations za special forces,ni shoot first ask questions later
 
Kwa Jeshi Nigeria ni hovyo kabisa hakuna kitu, wanafikia hatua hadi kuvamiwa ktk kambi zao na kupigwa vilivyo hadi kukimbia!
 
Hawa ni kwenda nao rough war! Yaani full intelligence, then ukikuta wako watano unamwaga bongo zao zote chini, una-move ahead. Ukikuta wako 50, unaomba back up, mnakuja rocket na launchers, unawalipua. Wakiingia msikitini unawafuata unawachinjia humo humo, no mercy!

Masuala ya uniform unatupa pembeni unaenda nao sale sale, kikubwa sign language tu! Dawa ya mshenzi ni ushenzi!!
 
Nimevuta picha ingekuwa bongo mpaka saivi tungekuwa tumepoteza karibu bat kadhaa.[emoji1]
 
Dunia haiko fair hasa afrika na uarabuni. Makundi ya Raia wema wanaotafuta haki zao wanaitwa majina mabaya Magaidi, wanamgambo, wasaliti, wahaini ili kuwachafua na serikali za kijaahili.

Mifumo ya kitawala hasa afrika na uarabuni ni ha kiuonezi na watu wakishaamua nyote mnakosa amani. Mfano Somalia, Yemeni, Jamhuri ya kati, Sudani, na sasa Ethiopia. Muhimu watawala simamieni haki. Mbona ulaya na marekani haya mambo hayapo?
 
Tamil tigers walipukutishwa kwa style hiyo ingawa raia wengi sana wasio na hatia walikufa na hadi leo bado kwenye ile mikoa waliokuwapo haijarudi kama zamani. Jumuia ya kimataifa pia itakupigia sana kelele
 
Afu Raisi wao anashauri eti Tanzania iongozwe kwenye muelekeo mzuri! Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…