Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Wapenzi wangu wanamichezo.
Naombeni mnisaidie, maana kila siku nimekuwa nikijiuliza maswali haya matatu na majibu sipati. Maswali ni haya yafuatayo:-
* Ni kwa nini unapopigwa mpira wa adhabu (faulo au penati), wachezaji wa timu mpira unapoelekea hushika sehemu zao za siri?
* Je, kiongozi wa wachezaji (team captain) huwa anapata mshahara mkubwa/posho kubwa kuliko wachezaji wengine?
* Je, asilimia ya ball possession huwa inakokotolewa vipi? Mfano, unaona ktk mechi fulani.. Timu X inapata 56% na timu Y inapata 44%.