NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Tusichanganye siasa na mpira [emoji3578]Tuache kubeba mabango ya Wana siasa kwenye michezo. Pia Viongozi wa kisiasa wahudhurie TU kama mashabiki bila ku-influence mambo ya mipira. Yule jamaa kila akiwepo lazima tufungwe!
Maneno mengi kuliko mbinu za mpira hii ni point kabisa [emoji3578]Nakumbuka maneno ya kocha mmoja wa Uganda sio huyu micho baada ya kuifunga timu ya Tanzania kwenye kuwania kuingia kombe la CHAN alihojiwa na mwandishi wa habari. Mwandishi wa habari alimuuliza unahisi ni mbinu Gani ulitumia kushinda mechi na Tanzania walifeli wapi. Yule kocha alimjibu, Tanzania wamewekeza zaidi kwenye hamasa kuliko kwenye mbinu za mpira.
Tuboreshe miundo mbinu [emoji3578]Uwanja mbovu
Kwani huyo Samata anachezea simba au yanga?Next time kocha achague wachezaji nje ya Simba na yanga
Tusitegemee Imani za kishirikina, bonge la point [emoji3578]wachezaji waache kutegemea uchawi.. unaficha uwezo wao halisi
Eti Kapombe anaingia dakika za mwisho. Aibu yaoooooJambo la msingi ni kuandaa vijna ambao watakua msaada kwa taifa hta miaka ijayo Pia tunafeli kwa sababu nchi yetu haina hata academy Inayofadhiliw na taifa kwel?? Changamoto kubwa sna usimba na yanga mwingi sana mwingi unaacha kibu Denis unaita Charles ruhende kwel HAHAHA UANATKA MATOKEO WEWE
Jamaa gani kila akiwepo lazima tufungwe? Mtaje tumjue sio unafungafunga maneno km fungu la nyanyaYule jamaa kila akiwepo lazima tufungwe!
Kweli kabisa mkuu,Hizi ni dakika mbaya sana 90+1 wengine wanaita dakika za lala salama, na tumelala salama shikamoo Uganda, kuna mchawi (siku hizi wachawi sio wazee) mmoja leo asubuhi alikua anasema ataenda kuwanga tufungwe ili tuendelee na ligi za ndani maana nje hatupawezi kweli yametimia 90+1 Rogers Mato anaiandikia bao Uganda
Tanzania 0-1 Uganda
Bonge la point mkuu [emoji3578]Jambo la msingi ni kuandaa vijna ambao watakua msaada kwa taifa hta miaka ijayo Pia tunafeli kwa sababu nchi yetu haina hata academy Inayofadhiliw na taifa kwel?? Changamoto kubwa sna usimba na yanga mwingi sana mwingi unaacha kibu Denis unaita Charles ruhende kwel HAHAHA UANATKA MATOKEO WEWE
Next time kocha achague wachezaji nje ya Simba na yanga
Halafu job anacheza beki namba 2 wakati nabi anamchezeshaga hiyo namba pale anapokua Hana mbadala kabisa.Eti kapombe anaingia dakika za mwisho. Aibu yaooooo
Wacheze mpira wanasiasa wapunguze Siasa kwenye mpira, sawa hamasa sio mbaya Ila mpira ubaki mpira na siasa zibaki kua Siasa hivi vitu viwili visichanganywe sana pamoja havichelewi kuvurugana,Unadhani Nini kifanyike ili timu yetu ipige hatua ??
"Ili tupige hatua kwa timu ya taifa inatupasa hii timu ifungiwe na serikali kwa miaka mitano kwnza ijitathmini na kujipanga la sivyo itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu huku pesa za walipa kodi hohehae zikitumika vibaya [emoji23][emoji23][emoji23]."Karibuni wadau wa mpira huu siyo muda wakulaumu wachezezaji au makocha na benchi la ufundi, ni muda wetu sisi wadau, mashabiki wa mpira wetu wa miguu tujadili mbinu namna gani tunaweza kuipa uhai timu yetu ya taifa (taifa stars).
Karibu kwa maoni mdau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Academy pesa na pesa zikatolewa na Serikali na Serikali ikitia pesa zinazofuata ni Siasa na mpira kuchanganywa pamoja, TFF waulizwe kuhusu suala la academy wana mpango gani maana hawa mabwana hawajawahi kuulizwa hili swali na kila likizungumzwa suala hili anaenyooshewa kidole ni Serikali Ila TFF hawajawahi kulizungumzianchi yetu haina hata academy
Umeongea kwa uchungu sana mkuu japokuwa unacheka [emoji16]"Ili tupige hatua kwa timu ya taifa inatupasa hii timu ifungiwe na serikali kwa miaka mitano kwnza ijitathmini na kujipanga la sivyo itaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu huku pesa za walipa kodi hohehae zikitumika vibaya [emoji23][emoji23][emoji23]."
Bonge la pointi [emoji123][emoji3578]Academy pesa na pesa zikatolewa na Serikali na Serikali ikitia pesa zinazofuata ni Siasa na mpira kuchanganywa pamoja, TFF waulizwe kuhusu suala la academy wana mpango gani maana hawa mabwana hawajawahi kuulizwa hili swali na kila likizungumzwa suala hili anaenyooshewa kidole ni Serikali Ila TFF hawajawahi kulizungumzia
Nakazia hizo pesa wanazotoa Kama hamasa wakazimwage kwenye academy za mpira wa miguu.Academy pesa na pesa zikatolewa na Serikali na Serikali ikitia pesa zinazofuata ni Siasa na mpira kuchanganywa pamoja, TFF waulizwe kuhusu suala la academy wana mpango gani maana hawa mabwana hawajawahi kuulizwa hili swali na kila likizungumzwa suala hili anaenyooshewa kidole ni Serikali Ila TFF hawajawahi kulizungumzia
Dah [emoji16] Roma na stamina haoNasikia kuna msanii aliwahi kusema kirefu cha TFF ni Tanzania Football Failure.
Naomba wanaojua lugha ya malkia wanisaidie