mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
wana jf
kwa sasa naona bendi nyingi zimegukia mwendo wa bia kama kiingilio, sijui wanalipanaje lakini najiuliza hawa wakongman wamefanyiwa nini hawatungi nyimbo mpya au wanaangushwa na maproducer wa tzm tuje kwenye bendi zetu zilizikuwa zinaiga miziki ya kongo na kuigeuza kuwa ya kitzed m nao sijui wameshindwa kuiga au maproducer wakina alan nao wameshindwa gemu. ni jambo la kusikitisha bendi kutoka kupiga kwa elfu 10 makumbusho kupiga kwa elf 2000 au bia kwa bia,
Afadhali angalau skylight bendi imeanzia chini sasa nayo inanza kutoza kiingilio, kiingilio bure pale the governar lakini ikija tegeta whatsap ni ths 5000
Jamani bendi ilikuwa raha sana enzi za kimarumaru, twangwa pepeta sasa hii hali ya kusubili wasanii wa bongo fleva wajipange makundi kutupigia kelele sijui itaisha lini maana tulizoea kila jmosi na ijumaa burudani