koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Mambo ya ileee ileeee ileee ileee ileee nakujaaaMambo ni kwa zamu singeli ipo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya ileee ileeee ileee ileee ileee nakujaaaMambo ni kwa zamu singeli ipo juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi komunyo ya kwanza.Kama unasherehe ya kipaimara tunaomba connection tuje tutumbuize, malipo plate la pilau kwa kila mmoja wetu.
Mkuu anasikitisha alianzisha band mwaka huu akatoa nyimbo inaitwa NIMEFULIA na hyo bend iliitwa SHADAI BAND makaz yake yalikuwa dodoma lakn ndan ya miez 2 ikafa kifo Cha mendeHivi yule mzaramo Mwinjuma Muumin aliishia wapi
Mkuu anasikitisha alianzisha band mwaka huu akatoa nyimbo inaitwa NIMEFULIA na hyo bend iliitwa SHADAI BAND makaz yake yalikuwa dodoma lakn ndan ya miez 2 ikafa kifo Cha mende
Muziki wa bendi a.k.a Jazz Band umekuwepo kwa miaka mingi kabla hata hawajaibuka hao wahuni wauza madawa ya kulevyaMuziki wa Dance ulikuwa unaendeshwa na Mapedeshee kina Papaa Musofe, Papaa Ndama, Papaaaa ........., tangu hali yao kiuchumi imebadilika na Muziki wa Dance ni kama umekufa.
Mbona radio zina vipindi vya nyimbo za South unakuta nyimbo Ina dakika 6-10 , sema watanzania hatupendi vya kwetu.mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe- Banza aliua sana enzi hizo japo nilikuwa bado bado kibana barubaru lakini nilikuwa nauelewa
Wapunguze miziki iwe mifupi we nyimbo ina dakika nane kipindi kizima watapiga nyimbo ngapi sasa
Mkuu shida siyo kupenda vya kwetu, shida ni product unayowaletea watanzania. Huwezi niletea product mbovu mbovu halafu utegemee niipende kisa wewe mtanzania, unless ushatengeneza jina na uliwekeza kwa muda mrefu sasa nainunua tu kutokana na jina, kama WCB wanachofanya hata wakohoe kwenye nyimbo zinaenda tu.Mbona radio zina vipindi vya nyimbo za South unakuta nyimbo Ina dakika 6-10 , sema watanzania hatupendi vya kwetu.
SafiiiiMkuu shida siyo kupenda vya kwetu, shida ni product unayowaletea watanzania. Huwezi niletea product mbovu mbovu halafu utegemee niipende kisa wewe mtanzania, unless ushatengeneza jina na uliwekeza kwa muda mrefu sasa nainunua tu kutokana na jina, kama WCB wanachofanya hata wakohoe kwenye nyimbo zinaenda tu.
Ukitaka kujua watanzania wanapenda vya kwa vikiwa vizuri, waulize akina dada na pedi za HQ, japo kuna pedi nyingi zinatoka nje lakini wengi wanapenda HQ na zinauzwa bei ila wanasema quality yake ni superb.Safiiii
Bos hebu edit kicha cha uzi. Unaonekana kama uzi wa kitambo kumbe brand new - dec 2020.
Na mtu huyo huyo umemtaja mara 2.
You Nailed. Hii ndio sababu kuu. Ikawafanya wanamuziki wasiwe wabunifu.Muziki wa Dance ulikuwa unaendeshwa na Mapedeshee kina Papaa Musofe, Papaa Ndama, Papaaaa ........., tangu hali yao kiuchumi imebadilika na Muziki wa Dance ni kama umekufa.
Pedi tena[emoji16]Ukitaka kujua watanzania wanapenda vya kwa vikiwa vizuri, waulize akina dada na pedi za HQ, japo kuna pedi nyingi zinatoka nje lakini wengi wanapenda HQ na zinauzwa bei ila wanasema quality yake ni superb.
Made in Tanzania mkuu