Wanamsimbazi Twendeni Tukaishangilie timu yetu

Risiti ya nini, na neno Akuli timamu linasimamia nini?
Mpumbavu ni mtu anayedeal na typo errors na kupuuza stakabadhi kama ndio proof ya manunuzi/matumizi ya pesa kwenye taasisi yeyote.

Sidhani kwenye hilo liclub lenu bovu kama kuna utaratibu wa Auditing.
 
Ila kwenye kiclub bora Tanzania, jana mchezaji alitaka kugoma, akidai malipo.
 
Back
Top Bottom