comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Nilishtuka toka usingizinAtakuwa Mwafwele huyo aliekuuliza huo ujinga kwa hio hapo umeandika ndotoni au umeandika usingizini?
Ameandika mweenyewe au ameandikiwa?Nilishtuka toka usingizin
Nchi ilipofikia wewe usiku huu unazurura? Nnje sasahivi anatakiwa awepo mafwele tuuMkuu wengine hatujafikia hata nyumbani Bado we unaota watu mnaraha na hamsemi
Mimi ndio naingia shifti ya usiku hapa halafu nashangaa mdau amelala na kuota😃Mkuu wengine hatujafikia hata nyumbani Bado we unaota watu mnaraha na hamsemi
Mkuu unazingua, unataka tucheke msibaniNimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!"
hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja kututishia hadi usingizini! Hawa jamaa ni freemason, ngoja nichukue kipande cha mkaa niweke chini ya mto.
Ikitokea tena unaliita tuu, lile jina liliko kuu kupita yote. Jina la Bwana yetu, Yesu Kristo, basi biashara inaishia hapo.Nimeshtuka hapa usingizini sasahivi natoa jasho mbaya, nimeota nipo chini ya ulinzi nmezungukwa na watu 6 nikiwa nimepiga magoti, mmoja amekaa kwenye kiti ananiuliza "ULE UJINGA WAKO ULIOKUA UNAANDIKA KULE JAMIIFORAM UMEONA ULIPOKUFIKISHA!"
hivi hawa jamaa ni mashetani kiasi hiki aisee wanakuja kututishia hadi usingizini! Hawa jamaa ni freemason, ngoja nichukue kipande cha mkaa niweke chini ya mto.
Nimeamka nimechoka sanaUnaweza kuta mwana katekwa kweli halafu Mafwele kachukua simu yake ndio akaandika huu uzi 🥹
Sio maigizo mzee, hawa jamaa ni hatari sana, ila tupambane tusikate tamaaaVijana wa hii nchi wana maigizo mengi sana
Kachomwa na wasaidizi wake wakisaidiana na mzee butiKwa hiyo walim-scan polepole kwenye rada zao?