CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
They will never do that!Hii post mtu akisoma pasipo kuweka uccm wala Upinzani atatoka na kitu.
Waafrika na Waarab wanapelekeshwa sana na wazungu ila sio Iran japo mapandikizi yalishawekwa huko tayari
Huwezi kusema udhaifu wa kwenu kwa majirani eti upate credit.
Wanaharakati, wapinzani uchwara isipokuwa Mbowe na aina zake hao hawatakaa wachukue nchi japo watatumika kuleta machafuko
Sent using Jamii Forums mobile app