Wanamuziki wa kiafrika na video queens wenye makalio makubwa

Wanamuziki wa kiafrika na video queens wenye makalio makubwa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,189
Reaction score
9,299
wakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way out than concerning your video without them big booty

je ni kipi kipo nyuma ya pazia
 
Extra musica wameng'ara dunia nzima bila video queens. Ni ujinga tu wa wanamuziki wetu
Waling'aa enzi zile sio leo
Leo hii neema za Allah ni sehemu ya kupendezesha video kama huamini fanya video yako bila hao wadudu uone itauza kivile
 
wakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way out than concerning your video without them big booty

je ni kipi kipo nyuma ya pazia

Makalio makubwa
 
Usishangae mkuu, misambwanda ndo habari ya mjini...We huon madame wengi wanatumia mchina..!
 
Upuuzi tu na miziki yetu ya big g! Leo ina hit kesho chali! Franco, Manu Dibango, Fella, Lucky Dube, Oliver Ngoma and many more Africas great artists hakuna huo upuuzi wa makalio! Iwe Ulaya, America na kwingineko wanamuziki mashuhuri hawafanyi video hizo!
 
Back
Top Bottom