Wanamuziki wa kiafrika na video queens wenye makalio makubwa

Wanamuziki wa kiafrika na video queens wenye makalio makubwa

wakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way out than concerning your video without them big booty

je ni kipi kipo nyuma ya pazia

....Fanya hivi nenda mtaani kwako kijiweni , kwenye biashara au makazini walipo angalau midume kumi, uwaonyeshe picha mbili moja demu mwenye chura wa haja na nyingine flat screen uone reaction zao na ulete mrejesho.
 
Upuuzi tu na miziki yetu ya big g! Leo ina hit kesho chali! Franco, Manu Dibango, Fella, Lucky Dube, Oliver Ngoma and many more Africas great artists hakuna huo upuuzi wa makalio! Iwe Ulaya, America na kwingineko wanamuziki mashuhuri hawafanyi video hizo!
....Sasa ww si unaiga uzungu?? mbantu original bado hujamwambia kitu kwenye hilo suala la hizo neema za Allah.
 
kuna yule bidada wa kuitwa amanda,ni msouth ile figure yake duh!!!yuko kwenye video ya show me ya kina mavoko,au ukitaka kumuona vizuri ile figure tafuta nyimbo ya davido inaitwa coolest kid in afrika.hatariii
 
Mkuu unawaonea wivu wakinadada? Sisi straight men tunapenda.
 
wakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way out than concerning your video without them big booty

je ni kipi kipo nyuma ya pazia

Waafrika tunajua tunapenda nini
We utakuwa mchina sijui [emoji23]
 
Mii mwenyewe nazimia girls with big booties kwikwikwi

Ova
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mimi nina nyongeza katika hili:
  • Ina maana hata wanawake nao wanapenda kuangalia wanawake wenzako wenye makalio makubwa? Au,
  • Wafuasi wao wengi ni wanaume na kwahiyo wanapenda kuwapa ile kitu wanapenda?!
 
Wanawake wenyewe wanawahaha wanawake wenzao wenye maumbile yenye utata kuliko ya kwao.
Ni waoga na hawajiamini, pia huwa wao kwa wao wanaji'rank' kutokana na umbile la mtu.
Unakuta mwanamke anamsifia mwanamke mwenziye, kuwa "huyu dada ni mzuri , mwenzetu kajaaliwa".
 
wakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way out than concerning your video without them big booty

je ni kipi kipo nyuma ya pazia

wanajua ugonjwa wetu.
 
Sindio vituu unapenda kuangaliaa??? Ukiwa nyumban beki tatu akipitaa unaangalia zigo,ukiingia mitandaonii nimizigoo unatizama,Rodin ndo usisemee sasaa kwenye video za mziki unakosajee? Au nawewe wataka kufanya video?
 
Ndio asili yetu kupenda ile mizigo mikubwa mikubwa tizama hiyo gauni imejaa mzigo yaani kama gauni linataka kuchanika vile kwa kujaa mzigo.
 
wakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way out than concerning your video without them big booty

je ni kipi kipo nyuma ya pazia

Doh
 
Back
Top Bottom